Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye makanisa ni chama cha majambazi wametuma green guard......ccm ni LAANA ya taifa22.Kuvunjwa kwa makanisa na kuiba
22.bei ya mafuta na umeme ,kupandaKwa matukio haya
Kupotea kwa
1.ben saanane
2.Azory Gwanda
3.Lisu kupigwa risasi
4.Nape kutishiwa bastola
5.miili ya watu kuokotwa ufukweni mwa bahari
6.Ansbert Ngurumo kuomba hifadhi nje
7.viongozi wa upinzani kuwekwa ndani
8.Abdul nondo kutekwa
9.Akwilina kupigwa risasi
10.watu kufunguliwa kesi za uchochzi
11.biashara nyingi kufungwa
12.kuminywa kwa democracy na uhuru wa kujieleza
13.utitiri wa kodi usiondana na hali halisi ya biashara
14.Watu kufukuzwa kazi kiholela
15.Manunuzi yasiyofuata utaratibu za manunuzi
16.Kuzorota kwa hali ya elimu nchini
17.Watanzania kuishi kwa vitisho
18.Kukosekana kwa ajira kwa wanafunzi wengi wanaohitimu vyuo
19.Polis kubambikizia raia kesi
20.Kejeli dhidi ya viongozi wa dini
21.kuvunjwa kwa katiba na kukosekana kwa utawala wa sheria na mengine mengi
JE NI NANI ALIYE SALAMA?
Repetition of things.....inachefua hivi hamna mambo mengine ya kujadili?Kwa matukio haya
Kupotea kwa
1.ben saanane
2.Azory Gwanda
3.Lisu kupigwa risasi
4.Nape kutishiwa bastola
5.miili ya watu kuokotwa ufukweni mwa bahari
6.Ansbert Ngurumo kuomba hifadhi nje
7.viongozi wa upinzani kuwekwa ndani
8.Abdul nondo kutekwa
9.Akwilina kupigwa risasi
10.watu kufunguliwa kesi za uchochzi
11.biashara nyingi kufungwa
12.kuminywa kwa democracy na uhuru wa kujieleza
13.utitiri wa kodi usiondana na hali halisi ya biashara
14.Watu kufukuzwa kazi kiholela
15.Manunuzi yasiyofuata utaratibu za manunuzi
16.Kuzorota kwa hali ya elimu nchini
17.Watanzania kuishi kwa vitisho
18.Kukosekana kwa ajira kwa wanafunzi wengi wanaohitimu vyuo
19.Polis kubambikizia raia kesi
20.Kejeli dhidi ya viongozi wa dini
21.kuvunjwa kwa katiba na kukosekana kwa utawala wa sheria na mengine mengi
JE NI NANI ALIYE SALAMA?
Kwakuanzia 2018264Inabidi hatua za dhati zichukuliwe dhidi ya hawa waajiriwa wetu.
Hakuna jiwe litakalobaki juu ya jiwe.Tunza hii.
Siku yaja ambayo kama taifa tutakuwa kitu kimoja katika kupingana na kulaani yote hayo uliyoyaorodhesha,hapo hapatakuwa na mwanaCCM wala mpinzani,mtakuwa kitu kimoja katika kukemea uovu.
Siku yaja.Hakuna jiwe litakalobaki juu ya jiwe.
Kazi ya chagadema ili serikali ionekane inahusika. Muuzile godbless lema si mwenzenu????22.Kuvunjwa kwa makanisa na kuiba
Kazi ya chagadema ili serikali ionekane inahusika. Muuzile godbless lema si mwenzenu????