mtundu27
Member
- Jul 17, 2018
- 78
- 123
Maana kwa mambo yanavyoenda watz tunadharaulika sana, yaani mijitu inaamua tu kufanya watakavyo as if wengine ni wanyama
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana kwa mambo yanavyoenda watz tunadharaulika sana, yaani mijitu inaamua tu kufanya watakavyo as if wengine ni wanyama
Sasa tukifanya kaz ndo ataacha udikteta?Jitume fanya kazi acha kulalamika unataka maisha mepesi? Subiri baba yako akiwa Rais utaletewa kila kitu nyumbani. Unamuhusisha Rais Kikwete na uvivu wako wa fikra? Wenzio tunaponda kokoto na maisha yanaenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mzee,na tatzo wanajua watz waoga,bas mijitu inaamua tu,tukamate kijiji kzma tukifunge mahabusuMaana kwa mambo yanavyoenda watz tunadharaulika sana, yaani mijitu inaamua tu kufanya watakavyo as if wengine ni wanyama
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa ila amani haiji kwa kuombea bali HAKI ndio huleta amani,Bora nusu shari kuliko shari kamili
Piga goti ndugu yangu,ombea taifa lako hamsisha na wengine wafanye hivyo mungu anasikia na atatenda
Usiombe hayo kabisa,
Mungu akubariki
MANENO kuntu walahiHapana Mkuu ni heri nusu shari kuliko shari kamili,siku utakayoona Dada,Mama,wadogo zako,jamaa zako na marafiki wanagaa gaa kwenye madimbwi ya damu na matundu ya risasi na mapanga wakati huo wewe ni mzima hutataka,wala kutamani ukionacho kiwe kweli bali sinema ama simulizi za dhania (fictional stories),wala kutamani kukumbuka kama uliwahi kuandika haya,hawa jamaa siwataki hata bure ila namuomba M.Mungu waondoke kwa amani tusifike huko!!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja za msingi zimewakaukia kweli kweli. Yamebaki matamko, vitisho na maigizo yasiyomsaidia hata huyo mnyonge mnaemuimba kila kukicha. Yabidi kuvunja katiba na kutegemea Polisi na NEC ili kulazimisha "kuonekana" mnakubalika.Kupiga marufuku, mlie tu,atakayepiga cha moto atakiona.
na ukiona mtu hadi sasa anataka afafanuliwe eti hali ngumu ilivyo kwa tanzania yaani hajui eti kama hali ni ngumu ama laaa! hakika mtu hiyo hana manufaa yeyote kwenye taifa hili ni sawa na kinyesi ingawa hata kinyesi kina faida kwa mimea nadhan ni zaid ya kinyesi.
Zipi? Kujijengea Chsto Internaional Airport? Kuchota pesa bila idhini ya bunge, Kukanyaga katiba ya nchi? Manunu makubwa yasiyofuata katiba? Kutisha wabunge wanaotetea wananchi wao? etc etc...Ameniambia nikujibu hivi: Ili niwasaidie, UNGENI MKONO JUHUDI ZAKE
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nakushauri nenda ukapate mafunzo ya JKT kwanza maana ukitoka huko kuna mawiliHabarini wadau.
Hii nchi ilipofika nahisi panabidi pawake kwanza wenda tutaheshimiana.
Yaani ccm wanaendesha nchi kama mungu aliwaambia hii nchi nawapa ccm tu hamna wengine.
Yaani hawa watu wanachofanya ni zaidi ya uonevu, na mijitu imekaa kila siku kuwashangilia ili wapewe uongozi, kwa mfano magazeti ya tanzanite na lile la uhuru..
Kwenye uchaguzi waibe kura, hela za kodi wanatokomea nazo (rejea trilioni na nusu), bunge live hakuna, bunge lenyewe limezibwa mdomo, mahakamani nako ni shida, polisi ndio kimekuwa kitengo cha ccm, deni la taifa linapaa tu.
Yaani nahisi panahitajika discipline ya haja ili tuheshimiane, maana tunafanywa malofa kupitiliza kwa mwamvuli wa amani na uzalendo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Well said mkuuUtakuta huna hata ghetto ndo maana unaona huna cha kupoteza.....japokuwa hali tuliyonayo kijamii, kisiasa na kiuchumi hainifurahishi lakini sijafika huko unakowaza
evidence" ni serikali kutowajibika kuwatafuta wahanga" nakutoongea chochote kitakacho changia kutoa sintofahamu kwa ndugu na jamaa wawahusikaGive us evidence. Acha siasa za kuambiwa.
Kweli Mkuu jamaa anachotamani si kitu kizuri,msongo wa mawazo,masumbufu ya maisha,kutokufikia malengo binafsi,kukatishwa tamaa,kushindwa kutimiza mahitaji na hali mbaya ya kisiasa(political instability) mara nyingi hutusababisha watu wengi na hasa sisi vijana kufikia hatua ya kuwaza haya. Hatufikirii wahanga wakuu Mara chache sana huwa si sisi(maana tuna nguvu, bali)Ulicho kitamani kitakufikia wewe tu nyumbani kwako na kizazi chako milele yote walahi!
With Almighty One speed!
Siwezi kuipenda CCMSiko peke yangu bali tupo wengi. Hata weye waipenda
Mungu alishaiacha Africa we uoni yatendekayo Africa, lawama ziwafikie waliodai Uhuru ndo wametuletea shida hizi,umasikini, njaa, ujinga, ufisadi, maradhi,heri hata wangewaacha wakoloni weupe watawale kuliko hawa weusi waliotuletea shida za kila aina Africa nzima.Kijana mbona bado!!!yatakuja makuu zaidi utatamani urudi tumboni mwa mama.Ila hii uwazayo sio njia sahihi.Upo wakati wa Mungu kuingilia kati maovu na uonevu unapozidi.Lamsingi ni Maombi kama walivyo kuwa wakiomba wana Israel wa mwanzo.Ipo siku waonevu watavuliwa nguo hadharani.
Sent using Jamii Forums mobile app