Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Nyinyi ndio mliokua mkimtukana JK na kuaminisha watu kuwa JK ni rais wa hovyo kabisa kuwai kutokea katika nchi hii tena mlidai yeye anachekacheka tu hachukui hatua, ammekuja JPM anapambana na wezi wa mali za umma na kuwataka walio iba fedha za umma watazirudisha au zitawatokea kwenye tundu lolote la mwili wake naye mna msimanga, Sasa nyinyi mnataka rais wa ainagani? Yaani hamwishi malalamiko , Fanyeni kazi , kwasasa tumepata rais anayepambana kujenga jamii inayo wajibika, Kwasasa hakuna mtanzania mwenye akili za kinyumbu. Kazi za JPM zinaonekana kwa wananchi, Hazi itaji pr





Hauna tofauti na hao unao walaumu, wakati wao "walimtusi" JK kipindi kile, wewe wamtusi kipindi hiki, yahani mmetofautiana muda tu wa kumtukana.
 
Nilimwelewa sana Zitto jana
Hushangai alitangaza siku tatu za maombolezo kitaifa,bendera kupepea nusu mlingoti lkn wakati wa mazishi ya wahanga wewe unaenda kanisani unatoka unaenda kufurahi na traffic police. Hana uchungu wowote km baba wa familia.
 
Huwezi kujua utendaji wa sehemu vizuri mpaka Tatizo litokee. Pamoja na idara, polisi, jeshi, serikali ya mkoa utendaji wa hii ajali unaonyesha ni jinsi gani tumekazania mifumo kisiasa zaidi na kusahau matatizo ni watu na maisha ya Watanzania. Inaelekea wakati wabunge wakilalamika kwenye chombo kibovu walikuwa wanasikilizwa kisiasa. Lakini hata kwenye mambo mengine yanashangaza jamaa waliotoa makontena ya msaada walisema hawatatoa mpaka wapate barua ya kutokuwa na kodi mkuu wa mkoa akatuma huko Washington state wakampa vitu serikali hiyo hiyo inapiga vitu mnada. Tatizo ni mifumo kama kweli mkuu wa mkoa alikuwa hajui utaratibu wa serikali je mtu wa kawaida atajuaje. Lakini pamoja na yote haya watoto bado wanakaa chini wengi tu. Sasa tunatatizo gani yaani hata ukiangalia vizuri vitu vinavyo sifiwa havifanywi na serikali ni miradi ambayo inafanywa na private companies kama reli, barabara na hata majengo hivi sio vitu vinavyofanywa na serikali ni contracts. Ni vigumu kuona vitu ambavyo serikali yenyewe inafanya vizuri. Ni wakati wakuangalia mifumo yetu vilevile jamani Technology ya sasa watoto hawatakiwa kukaa chini, watu kufa au migogoro ya ardhi wakati kuna GPS🤔. Kuna watu wanakazania mazoea na utaratibu ambao haufanyi kazi.
 
Tatizo vikao; watu wameshazama wewe unaitisha kikao tena si kwenye eneo la tukio. Bado wazungu tutawapigia magoti saana; maana hata haya madogo madogo ya kufanya wenyewe yanatushinda. Nchi huru miaka 50 na ushee hatuna mfumo wa kuokoana kwenye majanga unaoeleweka; (Nation Rescue Plan).
 
Kama alisema sehemu fulani, basi haina shida maana hiyo inaweza kuwa alimaanisha mdomoni, yaani watavitapika.
 
Katika hali ya kawaida, kuna kauli au maneno ambayo mtu huwezi kuyatamka hadharani unless una mapungufu kichwani mapungufu yanayoweza kuashiria tatizo la afya ya akili.

Kwa mfano, kumuambia mtu vipande thelathini alivyojichotea atavitoa kupitia sehemu fulani za mwili wake(niliwahi sikia kuwa aliitoa hii kauli. Kama haipo mnikosoe).

Maneno kama haya mtu unaweza kuyatamka mbele za watu ukiwa ama ni mlevi au mko katika ugomvi huku hasira zimekupanda kupitiliza lakini sio hivi hivi.

Ukiacha kauli hii, kuna matamshi mengine ambayo ni ya kuji-contradict kiasi kwamba mtu unajiuliza hivi huyu mtu anakumbuka jana au juzi aliongea nini na leo anaongea nini.

Kwa mfano ile kauli kuwa wakati anaingia ofisini, alikuta teyari bei ya kikombe cha chai imepanda wakati si kweli bali bei ilipanda baada ya yeye kuingia ofisini na kufanya aliyoyafanya na kisha bei ya kikombe cha chai ndio ikapanda ghafla.

Kauli nyingine ambayo mpaka leo huwa naishanga ni ile ya kuwadhalilisha wanaomsaidia majukumu kuwa ni wapu...avu (hii iliniacha hoi kabisa).

Iko mifano mingi tu ambayo mtu ukiitafakari, utagundua ndugu yetu huyu sio kama hana mshipa wa noma, bali huenda hayuko fit mentally(tutapata tabu sana).

I hope iko siku atafanya kituko kikubwa (kwa kauli au matendo) kuthibitisha mtazamo huu ambao kwa sasa umeanza kuwa ni mtazamo wa wengi.
Mtaje ni mtu gani huyo ili tukupatie stahili yako maana yaonekana unahitaji ile kitu unayopewaga siju zote
 
Akupeleke kwani wewe umekuwa zombie? Raisi Magufuli hayuko hapa kukupeleka wewe popote pale, bali wewe ndiyo unatakiwa ujipeleke mahali kwingine, wewe ndiyo unatakiwa ujitoe hapo ulipo na kwenda sehemu nyingine, wewe ndiyo unatakiwa ujifungue minyonyoro uliyofungwa na fisadi Lowasa, Mbowe & Co. na kuwa mtu huru Raisi Magufuli hawezi kulifanya hilo na wala siyo kazi yake!
Amazing stupidity KINACHO ZUNGUMZIWA NI TAIFA SIO MTU MMOJA MMOJA
Hivi upumbavu mtu anazaliwa nao au hujifunza ukubwani?
 
Najua wapo watu wengi wasio na vyama na walio na vyama ambao wanajinasibu kutomuelewa Rais Magufuli kwa anayoyafanya. Nimeamua kuanzisha uzi huu maalumu kwa wasiomuelewa watuambie ni kwanini hawamuelewi na wale wanaomuelewa wawe na chama wasiwe na chama watusaidie kujibu maswali ya hao wasiomuelewa
 
Hivi rambi rambi maana yake nini. Ni kwaajili ya wafiwa au kwaajili ya serikali kufanyia shughuli za maendeleo?
1538221903636.png
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom