Hivi wasukuma wanatahiriwa? Naoan wafugaji wengi wankisukuma wanakufa na mingozi yao.Mzee achana nawapuuzi hawa kwani kunashida gani akiongea kisukuma kanda ya ziwa niwasukuma.
Jifunze Kisukuma.
Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wasukuma wanatahiriwa? Naoan wafugaji wengi wankisukuma wanakufa na mingozi yao.Mzee achana nawapuuzi hawa kwani kunashida gani akiongea kisukuma kanda ya ziwa niwasukuma.
Jifunze Kisukuma.
Baada ya chama chetu tulichokiamini Sana kugeuka na kuwa chama cha wachumia tumbo sasa hakiwezi kuzalisha tena state individuals or states man wa kuweza kufanya hivyo ambavyo havionekani kwa macho. Kinazalisha politicians, wanasiasa uchwara, wachumia tumbo ambao kila saa wanafikiria uchaguzi,mwisho wa siku wanaishia kufanya vitu vinavyoonekana ili kujustfy uwepo wao, Kwa kifupi ccm ni janga la nchi yetu kwa sasa kuliko umaskini,ujinga na ukimwiHuwezi kujua utendaji wa sehemu vizuri mpaka Tatizo litokee. Pamoja na idara, polisi, jeshi, serikali ya mkoa utendaji wa hii ajali unaonyesha ni jinsi gani tumekazania mifumo kisiasa zaidi na kusahau matatizo ni watu na maisha ya Watanzania. Inaelekea wakati wabunge wakilalamika kwenye chombo kibovu walikuwa wanasikilizwa kisiasa. Lakini hata kwenye mambo mengine yanashangaza jamaa waliotoa makontena ya msaada walisema hawatatoa mpaka wapate barua ya kutokuwa na kodi mkuu wa mkoa akatuma huko Washington state wakampa vitu serikali hiyo hiyo inapiga vitu mnada. Tatizo ni mifumo kama kweli mkuu wa mkoa alikuwa hajui utaratibu wa serikali je mtu wa kawaida atajuaje. Lakini pamoja na yote haya watoto bado wanakaa chini wengi tu. Sasa tunatatizo gani yaani hata ukiangalia vizuri vitu vinavyo sifiwa havifanywi na serikali ni miradi ambayo inafanywa na private companies kama reli, barabara na hata majengo hivi sio vitu vinavyofanywa na serikali ni contracts. Ni vigumu kuona vitu ambavyo serikali yenyewe inafanya vizuri. Ni wakati wakuangalia mifumo yetu vilevile jamani Technology ya sasa watoto hawatakiwa kukaa chini, watu kufa au migogoro ya ardhi wakati kuna GPS🤔. Kuna watu wanakazania mazoea na utaratibu ambao haufanyi kazi.
Kama hujui uendako huwezi kupoteaMwalimu Nyerere aliwahi kusema, "Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli, hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya Rais au Waziri Mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.
Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu.
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je, anajua jinsi ya kututoa?! Anajua anakotupeleka?
Nimejitahidi kuangalia Bunge ili nione labda Mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.
Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
kutekana kutakuwa nje nje mara 5 ya hivi sasa ... kuhusu uchumi tujiandae kuporomoka kwa shilingi Yetu mkate wa 1k utakuwa unauzwa 5ksBinafsi hadi 2025 naiona tanzania yenye madini, milima, mito na mabonde ikiitwa nchi yenye uchumi wa kati kinadharia lakini ki uhalisia hakuna uhalisia unaohubiriwa.
We jamaa kuna unalotafuta,"Ila tuwe wakweli Magufuli kaua uchumi na kufika"
2025 ingawa mimi naamini hatokuwepo kama Rais
Akiwepo vijana hasa wasomi watakuwa hoi bini taabani.