Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Kuna watu watakubeza kwa ulisemalo, lakini wakati waja na utakuja tuu.
Mugabe mpigania Uhuru wa Rhodesia na sasa Zimbabwe alikuwa kapendwa toka moyoni na RAIA. Ikabadilika na kuwa anapendwa na kusifiwa kwa woga hata uchaguzi ukawa unatangazwa kuwa 90% ya Wazimbabwe ndio wamempa kura Mugabe. Ushindi wa kishindo.
Lakini siku jeshi limemuondoa madarakani ni 90% hiyohiyo ya Wazimbabwe ndio waliingia mtaani kushangilia kwa furaha. Na kilichomponya Mugabe hadi kupewa hadhi ya "mwacheni mzee apumzike kwa amani" ni sifa yake ya kupigania Uhuru kwa dhati hapo awali.
Angekuwa kama hawa ambao hata historia ya nchi hawaijui ilikuwa ni kama kina Garbo
 
raisi wetu yupo vizur sana ,anayoyafanya nikwaajili ya Watanzania wahali ya chini ,hivyo wale waliozoea kupiga madili kama ww huwezi muongelea vizuri CCM mbele kwa mbele
 
Nchi inaanza kunyoka hii, hadi napata raha mijitu inavyotapatapa.
Mtaisha wote mliisha zoea mambo mterezo.
Sasa ni KAZI TU + AMRI=GOMA UFE
 
Kuna watu watakubeza kwa ulisemalo, lakini wakati waja na utakuja tuu.
Mugabe mpigania Uhuru wa Rhodesia na sasa Zimbabwe alikuwa kapendwa toka moyoni na RAIA. Ikabadilika na kuwa anapendwa na kusifiwa kwa woga hata uchaguzi ukawa unatangazwa kuwa 90% ya Wazimbabwe ndio wamempa kura Mugabe. Ushindi wa kishindo.
Lakini siku jeshi limemuondoa madarakani ni 90% hiyohiyo ya Wazimbabwe ndio waliingia mtaani kushangilia kwa furaha. Na kilichomponya Mugabe hadi kupewa hadhi ya "mwacheni mzee apumzike kwa amani" ni sifa yake ya kupigania Uhuru kwa dhati hapo awali.
Angekuwa kama hawa ambao hata historia ya nchi hawaijui ilikuwa ni kama kina Garbo
Mkuu 2020 kesho tu. Mtakuja tena na maneno haya haya hadi 2025 mtakapowekewa chuma kingine tena,.

Hamjielewi. Yaani sijui mtajifunza lini?
 
Mzee,najua kama unapita mitandaoni na kusoma maoni ya watu,unaweza kuona umefanikiwa sana kuwafanya watu wakuogope ila jua tu unajidanganya kwani binadamu yoyote ana ukomo wa uvumilivu na wewe hutakuwa wa kwanza.

Elewa tu hata wasaidizi wako ambao sasa wanashambuliwa mitandaoni watakuwa wanaumia na kujisikia vibaya na usishangae baadhi yao wakafikia ukomo na kuamua liwalo na liwe na wakawa wa kwanza kukuanika hata kwa kuwatumia watu wengine.

Hali inayoendelea sasa unatakiwa kuichukua kwa tahadhari na si kwa kuipuza hata kidogo.

Kumbuka,ukiharibikiwa,baadhi ya wanaokuzunguka na kukusifu ndio watakuwa wa kwanza kukukana na hata kukudhihaki.

Watu kama sisi kwa sasa tunaweza kuwa wa hovyo kwako, ila tambua kuna siku unaweza kuja kutuona tulikuwa wa maana kuliko waliochagua kukaa kimya na wale waliochagua kusifu kwa asilimia mia moja ingawa wanajua na wewe ni binadamu unaeweza/unaefanya makosa.

Badilika before it is too late.
Hivi lini mtamtua magu. Mnaboa
 
raisi wetu yupo vizur sana ,anayoyafanya nikwaajili ya Watanzania wahali ya chini ,hivyo wale waliozoea kupiga madili kama ww huwezi muongelea vizuri CCM mbele kwa mbele
Yeye mwenyewe anatambua kauli ya wapiga dili imeshachuja!Ndio maana akawaita wafanyabiashara baada ya kuona hali ni tete,mwanzo aliwaza kuwa wanaolalamika biashara ngumu ni wapiga dili,akaona si kweli maana kuna shida mahali!!
 
Mzee,najua kama unapita mitandaoni na kusoma maoni ya watu,unaweza kuona umefanikiwa sana kuwafanya watu wakuogope ila jua tu unajidanganya kwani binadamu yoyote ana ukomo wa uvumilivu na wewe hutakuwa wa kwanza.

Elewa tu hata wasaidizi wako ambao sasa wanashambuliwa mitandaoni watakuwa wanaumia na kujisikia vibaya na usishangae baadhi yao wakafikia ukomo na kuamua liwalo na liwe na wakawa wa kwanza kukuanika hata kwa kuwatumia watu wengine.

Hali inayoendelea sasa unatakiwa kuichukua kwa tahadhari na si kwa kuipuza hata kidogo.

Kumbuka,ukiharibikiwa,baadhi ya wanaokuzunguka na kukusifu ndio watakuwa wa kwanza kukukana na hata kukudhihaki.

Watu kama sisi kwa sasa tunaweza kuwa wa hovyo kwako, ila tambua kuna siku unaweza kuja kutuona tulikuwa wa maana kuliko waliochagua kukaa kimya na wale waliochagua kusifu kwa asilimia mia moja ingawa wanajua na wewe ni binadamu unaeweza/unaefanya makosa.

Badilika before it is too late.
nadhan wewe ndie ubadilike before its too.late...kama umetumwa na wadhungu kamanda, rudi kawaambie Hapa kazi tu..usiseme maneno mengine..kama maisha yamekushinda mama chukua familia yako, mmeo na watoto mrudi kijijini mkaanze maisha ya kilimo..msione aibu..kwa sababu mfumo tuliouchagua kwa sasa ni huu na tunaelekea uchumi wa kati sasa...
 
Mzee,najua kama unapita mitandaoni na kusoma maoni ya watu,unaweza kuona umefanikiwa sana kuwafanya watu wakuogope ila jua tu unajidanganya kwani binadamu yoyote ana ukomo wa uvumilivu na wewe hutakuwa wa kwanza.

Elewa tu hata wasaidizi wako ambao sasa wanashambuliwa mitandaoni watakuwa wanaumia na kujisikia vibaya na usishangae baadhi yao wakafikia ukomo na kuamua liwalo na liwe na wakawa wa kwanza kukuanika hata kwa kuwatumia watu wengine.

Hali inayoendelea sasa unatakiwa kuichukua kwa tahadhari na si kwa kuipuza hata kidogo.

Kumbuka,ukiharibikiwa,baadhi ya wanaokuzunguka na kukusifu ndio watakuwa wa kwanza kukukana na hata kukudhihaki.

Watu kama sisi kwa sasa tunaweza kuwa wa hovyo kwako, ila tambua kuna siku unaweza kuja kutuona tulikuwa wa maana kuliko waliochagua kukaa kimya na wale waliochagua kusifu kwa asilimia mia moja ingawa wanajua na wewe ni binadamu unaeweza/unaefanya makosa.

Badilika before it is too late.
we utakuwa umelaainiwa.na.mkweo, si bure..unajifanya unajua kuandika kumbe uozo mtupu..unamuelezea nani story asiyejua ukweli uliopo..unachekesha kweli..jomba. nenda kachukue buku yako ufipa.ukalale
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom