juzi mtaani nnapokaa kuna kijana amecheza makamari yale yakutumbukiza sarafu,bas akawa ameliwa sijui sh ngapi, kwa hasira akaenda kuchukua shoka akalivunja lile dude akabeba kiasi cha hela aliyoliwa, zingine akaziacha wakazigombania wenzie,, nasikia wachina wanamtafuta,, maana yale madude ya kamari ni ya wachina nilivyosikia,,
Na kuna mwingine alipewa ela akanunue pumba za kuku ela kaenda kucheza yote kwenye kwenye ayo madude,, kakimbia kwao ajarudi,, kiukweli mtaani watu wana Hali ngumu, uyu baba 2020 aondoke tu tuongozwe ht na Mabeyo kwakweli