Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Najuta kabisa kumchagua 2015

Heri nife au kukatwa mkono kuliko kumpa tena kura yangu Magufuli,

Siwezi hata iwe kwa dawa haitatokea tena,

Magumu tunayoyapitia imetosha sasa
Kwahiyo utamchagua Abushiri???
 
Najuta kabisa kumchagua 2015

Heri nife au kukatwa mkono kuliko kumpa tena kura yangu Magufuli,

Siwezi hata iwe kwa dawa haitatokea tena,

Magumu tunayoyapitia imetosha sasa

Simchagui hata nipewe hela za deni la mkulima!
 
Najuta kabisa kumchagua 2015

Heri nife au kukatwa mkono kuliko kumpa tena kura yangu Magufuli,

Siwezi hata iwe kwa dawa haitatokea tena,

Magumu tunayoyapitia imetosha sasa

Umepitia magumu yapi mapya mpaka sasa?kuwa mkweli...
 
wakuu natoa ushuhuda wa kweli kabisa nchi hii kwa sasa asilias 70 ya watu wana stress kupitiliza.watu wanaongea peke yao barabarani.kazi hakuna vijana wanaishia kubet kuna ongezeko kubwa la wacheza kamari wapya ambao wana matumaini 500 zao zinaweza kuzaa mamilioni.hali inatisha vijana wanachizika na kuzeeka mapema.umalaya kimya kimya pesa zinatafutwa kwa njia haramu.watoto wadogo wanajiingiza mpaka kwenye biashara za kuuza bangi.nchi inateketea kimya kimya kwenye level ya chini kabisa na hakuna juhudi za kuyazungumzia mambo haya kwa uwazi.walionacho wamepata wasio kuwa nacho hawapati tena.huku juu mnachekelea maendeleo ya flyover na reli wakati huku chini watoto wanazidi kuwa watukutu kwa kutenda mambo mabaya na tatizo kubwa ni umaskini,ukosefu wa hela,ukosefu wa mahitaji ya muhimu,kufeli kwa ndoto na malengo.msije kusema sikuwatahadharisha
 
Kwa kweli hali ni mbaya sana kitaa..
 
Kafanye kazi mkuu, Hakuna siku maisha yatakuonea huruma binadamu. Hakuna mtu au kikundi Cha watu kitakuwa mkombozi wa maisha yako .. Mkombozi wa maisha yako Ni wewe mwenyewe .. Haijawahi na haitatokea maisha kuwa rahisi ..
 
Airbus nyingine mbili zimeagizwa mkuu
 
Na bado, subir uone ile miaka 5 ijayo baada 2020
 
juzi mtaani nnapokaa kuna kijana amecheza makamari yale yakutumbukiza sarafu,bas akawa ameliwa sijui sh ngapi, kwa hasira akaenda kuchukua shoka akalivunja lile dude akabeba kiasi cha hela aliyoliwa, zingine akaziacha wakazigombania wenzie,, nasikia wachina wanamtafuta,, maana yale madude ya kamari ni ya wachina nilivyosikia,,
Na kuna mwingine alipewa ela akanunue pumba za kuku ela kaenda kucheza yote kwenye kwenye ayo madude,, kakimbia kwao ajarudi,, kiukweli mtaani watu wana Hali ngumu, uyu baba 2020 aondoke tu tuongozwe ht na Mabeyo kwakweli
 
Hizo bangi wakiuza zikavutwa ndo zinawafanya wachekelee ndege yao ikikamatwa na mkulima. Bangi si nzuri.
 
jaribu kutembea zigzag kama mlevi flani halafu jitathimini je una move kiasi gani kwenda mbele
 
Kafanye kazi mkuu, Hakuna siku maisha yatakuonea huruma binadamu. Hakuna mtu au kikundi Cha watu kitakuwa mkombozi wa maisha yako .. Mkombozi wa maisha yako Ni wewe mwenyewe .. Haijawahi na haitatokea maisha kuwa rahisi ..

Basi hakuna maana ya kuwa na serikali
 
juzi mtaani nnapokaa kuna kijana amecheza makamari yale yakutumbukiza sarafu,bas akawa ameliwa sijui sh ngapi, kwa hasira akaenda kuchukua shoka akalivunja lile dude akabeba kiasi cha hela aliyoliwa, zingine akaziacha wakazigombania wenzie,, nasikia wachina wanamtafuta,, maana yale madude ya kamari ni ya wachina nilivyosikia,,
Na kuna mwingine alipewa ela akanunue pumba za kuku ela kaenda kucheza yote kwenye kwenye ayo madude,, kakimbia kwao ajarudi,, kiukweli mtaani watu wana Hali ngumu, uyu baba 2020 aondoke tu tuongozwe ht na Mabeyo kwakweli
😂🤣😂😁🤣😂

Mabeyo. Dah , ww baba ww sijui mama, mbona hututakii mema?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom