Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Hizi barabara alizojenga tunazotumia huzioni?
Ingekuwa vumbi tungemlalamikia nani km sio Magufuli
 
Hizi barabara alizojenga tunazotumia huzioni?
Ingekuwa vumbi tungemlalamikia nani km sio Magufuli
We ni mjinga wa mwisho barabara zote ni awamu zilizopita,na hawakuwahi kujitangaza na kujisifia kama ninyi walafi
 
Nimsifie Magufuli ili watu waendelee kupigwa risasi? Nimsifie tu ata kama wakina Roma wataendelea kutekwa na wengine kupotea? Eti akanyage na kusigina katiba niendelee tu kumsifia? Nimsifie tu hata kama hana policy juu ya ajira ya wadogo zetu? nimsifie kwa lipi ambalo amelifanya halijawai kufanyika uko nyuma? Nyerere hakutoa elimu bure? vituo vya afya ujenz wa barabara,meli na ununuzi wa ndege?
Kwani ukiponda unaponda ili iweje kwa mfano?
 
Nimsifie Magufuli ili watu waendelee kupigwa risasi? Nimsifie tu ata kama wakina Roma wataendelea kutekwa na wengine kupotea? Eti akanyage na kusigina katiba niendelee tu kumsifia? Nimsifie tu hata kama hana policy juu ya ajira ya wadogo zetu? nimsifie kwa lipi ambalo amelifanya halijawai kufanyika uko nyuma? Nyerere hakutoa elimu bure? vituo vya afya ujenz wa barabara,meli na ununuzi wa ndege?
Wewe nae masuala yako binafsi yakipumbavu pumbavu tu unatuletea humu ili iweje... Huko kwenu umetumiwa Polisi au Mahakama ukamsifie RAIS!??, wakati mwingine uwe unaacha kuonyesha UJINGA wako Mkuu!!!
 
Sidhani kama kuna aliyekulazimisha umsifie yoyote yule na hata hakuna mwenye uwezo huo, hivyo hilo swali ulipaswa ulijibu mwenyewe!
 
Hakuna sheria inakubana kumsifia mtu yoyote yule. Wala katiba haina ibara yoyote inyokulazimu kupongeza au kusifua.
 
Hizi barabara alizojenga tunazotumia huzioni?
Ingekuwa vumbi tungemlalamikia nani km sio Magufuli
Nenda tandika ukaone bara bara pale mtaa wa Chihota Chura wanashindana kupiga mbizi mwaka mzima.
 
Attachments

  • IMG_20190121_140416.jpg
    IMG_20190121_140416.jpg
    197.6 KB · Views: 1
labda katengeneza barabara za chato,Taifa hili ni majanga matupu ,usijigambe kujenga barbara wakati nchi nzima barabara zilizotiwa lami ni chini ya asilimia 10%
 
Ukiniuliza nimsifie magufur wapi ntasema economically, social kajitaidi xna tena xna pongezi kwake , kakosa tu washauri tungekua mbali xnaa maana siamini kama yeye anaweza akawa perfect % 100 but we would keep moving alekebishe kidgoo kwenye siasa hapoo ndo kidgoo naona panayumba ila mengine mh yuko vizuri bado namwamini he can change our state with its some ccm member's mind
 
Amalize hiyo miaka yake mitano akae pembeni tu inatosha kabisa hatumtaki tena drama Kila kukicha hana hata la maana kwa taifa zima
 
Anything that will try to mess vs these programs
The 3rd world war is at our eyes trust me
Mkuu haya niliyoandika si rahisi kuyajua kama wewe sio mtafiti,mdadisi au msomaji mzuri.Ni personal initiative.B.Sc,MSc. au hata PhD haisaidii kuyajua haya,so inawezekana hata Rais wetu hayajui.Najua kwamba wataalamu wetu wengi hawayajui haya,ndio maana wanaingizwa mkenge kirahisi na mashirika kama IMF na World Bank.Ni muhimu viongozi wetu wakajua mikakati ya siri ya The World Shadow Government,The Elite au The New World Order(NWO) ili tusiingizwe mkenge kirahisi.Naishukuru sana serikali ya awamu ya tano,kwa ujumla it is doing a good job.Kama viongozi wa serikali ya awamu ya tano wanafahamu mikakati ya The NWO au wanayafanya wanayoyafanya by coincidence sijui.
 
Ki uhakika na kiukweli sina matatizo na Nambari Moja wetu bali majizi na mafisadi yaliyomzunguuka huku yakijificha katika ukada wa chama yakimpamba kwa sifa na kumshauri vibaya ili mambo yao yaende. Sikushangaa kilichotokea Msamvu... kuona wananchi wakimzomea DC kana kwamba yeye ndio mwenye kuhusika na matatizo ya NIDA Kilosa na wilaya zingine...!!! Na sikushangaa zaidi nilipoona Nambari Moja akipeleka mic sikioni... wanaomsifia na kumdanganya ndio sababu ya matukio aina hii.
Wanadhani wanamfurahisha Mkuu kumbe wanaangamiza taifa na kuiingiza nchi katika majanga ya kukusudia.
Wangekuwa wanayasema wazi matatizo yaliyopo kabla ya kuadhiriwa tungepunguza hizi shida lakini MAPAMBIO...
 
Anything that will try to mess vs these programs
The 3rd world war is at our eyes trust me
I do not understand you,do you mean messing around with New World Order programs will result to WW III?Please elaborate.

But of course WW III will be brought about by the NWO,so as to bring humanity to it's knees.This will enable them to start afresh by creating new World institutions as they did after WW I and II.This will enable them to completely dominate and enslave humanity.

Remember that institutions created after WW I&II were created so as to advance the NWO agenda for total World domination and enslavement.The United Nations is one of such institutions.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom