Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hati chafu ipo CCM hata wakurugenzi wote wa wilaya wenye hati chafu ni wanachama wa CCM
.Kubeza yote yaliyofanywa awali hata yale mazuri na kupongeza yote yanayofanywa sasa hata yasiyokua na tija.
Wana maanisha awamu nyingine zilikuwa hazijafanya kitu . wao pekee ndo wamefanya kitu na wanaendelea kufanya.
Na kubeza kwenyewe zaidi anarengwa kipenzi cha watu Handsome wetu Mzee wa msoga.nyota yake ya kupendwa na watu ndio inamponzaWana maanisha awamu nyingine zilikuwa hazijafanya kitu . wao pekee ndo wamefanya kitu na wanaendelea kufanya.
kama hujui unapokwenda... basi huwezi kupotea.
Naungana na wewe ktk ukusanyaji, Ila tuwe wazi tunakusanya za kampeni 2020Tunakoelekea ni kazi tu.
Tulipoanzia ni kutumbua wafanyakazi hewa na kutengeneza afya bora kwa wafanyakazi wetu na Elimu bora .
Kwa sasa tuko na kazi ya kukusanya Kodi na kuweka taratibu sahihi wa matumizi sahihi ya Kodi .