Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nguvu ya CCM iko Jeshini ( Polisi, JWTZ, TISS, UHAMIAJI ) ndio maana CCM wanajipendekeza sana huko kwa kuwa hawana watu.Na bado CCM inashinda kwa nguvu kwa 99.9%
Kuna vitu ni vya AIBU sana.
Only in Tanzania.
Na tunaelekea pabaya sana. Kwasasa watu hawaoni kwa kuwa wanaona wasiowapenda wanashughilikiwa.Na tushajitoa Mahakama ya Afrika. Twaenda badili katiba tutawale milele
Anachoweza ni propaganda tu.Aisee !!
Kila ukifikiria inashangaza
Umesahau mingine mitano ijayo?Kama utani miaka mitano ya maumivu inakatika!
Neema ipi? Hebu fafanuaWe ndo kitu Cha Aibu Sana.
Ulipewa neema ukaishia kukufuru.
Ccm itashinda kwa nguvu kwa 100%
Hio 0.1% mbona umeiacha,naona bado unangangania kufuru .
Ni uzwazwa kusubiri kuajiriwa na serikaliKila ukifikiria inashangaza. Ikumbukwe hapa nazungumzia nafasi zinazoajiri watu wengi hususani sekta ya afya na elimu.
Bomu linalopikwa nadhani la Nuclear lina unafuu!