Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Tanzania ni nchi pekee Dunia hii ambayo Serikali hutoa ajira, na hulaumiwa kwa kutokutoa ajira.
 
Hii elimu bure mpaka form 4 ndiyo italeta transformation miaka ijayo..........yaani serikali inatengeneza Bomu la kulipuka miaka 10 ijayo,mtu hata akiishia form two,kuna consciousness fulani anapata.Sasa hawa graduates wanavyozidi kuwa wengi hatari unazidi kuwa kubwa
 
Kila ukifikiria inashangaza. Ikumbukwe hapa nazungumzia nafasi zinazoajiri watu wengi hususani sekta ya afya na elimu.

Bomu linalopikwa nadhani la Nuclear lina unafuu!
Ni uzwazwa kusubiri kuajiriwa na serikali
Itawezekana vipi wahitimu wote muajiriwe?
Nenda kalime,bado hujachelewa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom