Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
kama hujui unapokwenda... basi huwezi kupotea.
Ha ha ha ha ha ha ha,kweli lakini kama haujui unapokwenda basi huwezi potea kwa sababu huko unapokwenda haupafahamu,lakini kama ungekuwa unajua unapokwenda halafu ukaenda tofauti na ulipokuwa ukijua unaenda,basi hapo ushapotea njia.
Ila dawa inazidi kuingia taratibu,hadi waelewe tu.
 
Tangu nizaliwe hii ni mara ya pili kuishi kwa hofu namna hii katika nchi yangu.

mara ya kwanza kuishi kwa hofu nilikuwa mdogo sana. aliingia simba kijijini. alikuwa akila mifugo na binadamu. kilikuwa ni kipindi cha hofu sana hasa usiku na ikizingatiwa nyumba zetu zilikuwa za milango ya jadi. unainjika-injika tu unasema umefunga kumbe hakuna lolote. hatimae simba aliuliwa. cha ajabu eti hakuwa na meno. simba kibogoyo. mambo ya kiswahili. lakini ikawa ndiyo mwisho wake.

miaka 20 baadae. naishi kwenye Tanzania ya hofu tena. hii si Tanzania ya Magufuli niliyodhani ilikuwa inahubiriwa wakati wa kampeni.

unaishi kwenye nchi ambayo unahisi unaweza kufa au kupelekwa jela muda wowote.

Tujitafakari - kuanzia kiongozi wa msafara mpaka wanamsafara wenyewe.

Wasukuma wana msemo wao: Nzila ya huwa ntongi. Maana yake kama anayeongoza msafara akipotoka basi wote mnapotoka.

Heri ya Mwaka.
 
Hofu ya kupoteza madaraka 2020 imeliumiza taifa linalia
Next time tusiwape nchi watu wasiojiamini
 
Tangu nizaliwe hii ni mara ya pili kuishi kwa hofu namna hii katika nchi yangu.

mara ya kwanza kuishi kwa hofu nilikuwa mdogo sana. aliingia simba kijijini. alikuwa akila mifugo na binadamu. kilikuwa ni kipindi cha hofu sana hasa usiku na ikizingatiwa nyumba zetu zilikuwa za milango ya jadi. unainjika-injika tu unasema umefunga kumbe hakuna lolote. hatimae simba aliuliwa. cha ajabu eti hakuwa na meno. simba kibogoyo. mambo ya kiswahili. lakini ikawa ndiyo mwisho wake.

miaka 20 baadae. naishi kwenye Tanzania ya hofu tena. hii si Tanzania ya Magufuli niliyodhani ilikuwa inahubiriwa wakati wa kampeni.

unaishi kwenye nchi ambayo unahisi unaweza kufa au kupelekwa jela muda wowote.

Tujitafakari - kuanzia kiongozi wa msafara mpaka wanamsafara wenyewe.

Wasukuma wana msemo wao: Nzila ya huwa ntongi. Maana yake kama anayeongoza msafara akipotoka basi wote mnapotoka.

Heri ya Mwaka.
Hofu ya kupoteza madarak na kupelekwa the Hegue itatumaliza.

Kadiri anavyokosea ndivyo anazidi kuharibu zaidi stress ni mbaya sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom