Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Salamu zenu za mwisho kutoka kwa Magufuli mtazipata siku mwili wake unaagwa.
Msikose kuangalia TV ndio mtajua ni kiasi gani watanzania maskini walivyokuwa wanamuhitaji.
Ni asilimia ndogo sana ndio wenye kulalamika na uongozi, wengi ni watu ambao waliozoea vitu rahisi rahisi tu.
We ukajenga lihoteli lako halafu utegemee serikali inunue huduma zako mzima kweli kichwani, au uanzishe kampuni kwa sababu ya tender za serikali tu. Wakisema hela yao inamatumizi mengine muanze kulia eti ana haribu uchumi, how pathetic.
Wachawi wote msikose kuangalia siku ambayo nabii Magufuli anapelekwa nyumba yake ya mwisho.
R.I.P Magufuli
Kwenda kujazana kwenye msiba ndio dalili kuwa watu walikuwa wanamtaka? Kwa watanzania kuhudhuria mazishi ni fashion na sio dalili ya wao kukuhitaji. Na tena ukizingatia mazishi yenyewe yana msosi wa kumwaga, unategemea nini? Hamna nabii jizi la kura.