Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Hivi bila yeye....

1. Tungejua aina za Ndege?
2. Serikali ingehamia Dodoma?
3. Watanzania wangekuwa Matajiri?
4. Miradi ya Maendeleo ingejengwa?
5. Watanzania tungeheshimiana?
6. Mafisadi wangekamatwa?
7. CCM ingeendelea Kutawala?

Hebu tumuacheni Hayati JPM ajilalie tu.
Hiyo ndio hulka ya kibinaadam yani Mungu ndivyo alivyo tuumba

Hata Yesu hakukubarika na Wayahudi wote wapo waliomkubali na wapo waliomkataa

Binafsi namshukuru ametuachia reli ya mwendokasi ni fadhira ambazo hazitafutika kwa watanzania hadi dunia inaisha
 
Kuna kuongoza na kutawala.
Kuongoza -kunahitaji hekima na busara
Kutawala- huna hekima wala busara unatawala kibabe
 
Hiyo ndio hulka ya kibinaadam yani Mungu ndivyo alivyo tuumba

Hata Yesu hakukubarika na Wayahudi wote wapo waliomkubali na wapo waliomkataa

Binafsi namshukuru ametuachia reli ya mwendokasi ni fadhira ambazo hazitafutika kwa watanzania hadi dunia inaisha

Kujengewa reli ni fadhira?
Kwani nini wajibu wa serikali?

Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
 
Alilivamia suala la sukari tena kwa kufokafoka likabuma tena kwa sukari kupanda bei 3 times mpaka leo. Amevamia suala la korosho kwa kufoka tena mpaka kuwatishia akina Nape kuwafukuza ona linavyowatesa wananchi.

Alimfukuza Mwigulu kwa kufokafoka tena kwa issue ya Lugumi sasa imeonekana Serikali ndo ilikuwa na tatizo siyo Lugumi.

Je, kwa trend hii mbeleni si kuna giza jamani! Wakuu wote wa mikoa na wilaya wamemuiga nao ni kufokafoka tu.

Aisee!

Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
 
Sitaongeza neno lolote ili kutokiuka sheria ya Maudhui mitandaoni , jisomee mwenyewe .

Instagram_post_by_Governor_Kaduma_•_Apr_11,_2021_at_3:57am_UTC%22_.jpg
 
Utawala wa Jombe Pombe ulikuwa ni utawala wa kishenzi sana, Ni utawala wa kijinga mnoo, ni utawala uliokuwa haujui hata unafanya nini, haukujua hata kesho kutatokea nini, haukuwa na uwezo wa kuona mbali, ilikuwa ilimradi tu panakucha na script mpya, Kauli zake hazizkuwa za kiuongozi, zilikuwa ni kauli za majivuno na ujuaji mwingi. kwa kifupi Mungu ameamu kutupa pumzi mpya.
 
Aliegundua kuweka kumbukumbu kwa maandishi abarikiwe sana.

Huu UTOPOLO wako utakuja kukuonyesha ulikuwa BWEGE wa kiwango gani muda si mrefu.
 
Sitaongeza neno lolote ili kutokiuka sheria ya Maudhui mitandaoni , jisomee mwenyewe .

View attachment 1749059
Ili Prof Assad na wengine wote wanaotaka kuichafua oil chafu wanatakiwa wafanye kinyume na Magufuli kama
"NAAAM....!

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

Vunjeni makao makuu Dodoma mrudishe serikali Dar.

Hapo sasa mtakuwa mmemkomoa Magufuli na watoto wake watashinda njaa ili anyooke kabisa.

Nawasilisha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom