Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Ndio naiona hekima ya kukatazana kumsema marehemu,kwa sababu kinachoendelea ni sawa na kusikiliza kesi upande mmoja tu na kisha kutoa hukumu.
Yeye wakati akiwa hai si alikuwa anawasema watu majukwaani, tena kwa kuwapa tuhuma nyingine za uongo?!!na hawakuwa na jukwaa la kuzijibu, sasa ni muda wao mzuri wa kuzijibu ili watu waelewe na kutoa hukumu!!wala sio kuwa kesi inasikilizwa upande mmoja, yeye alipokuwa na nafasi hiyo, jaji alimpa nafasi akatoa hoja zake, sasa amemaliza ni nafasi ya watuhumiwa nao kujitetea!!wakati ule anawatuhumu watu mlikuwa mkishangilia, mbona hamkuuliza kuwa wapewe nafasi ya kujitetea?!!
 
Tatizo mkuu unafanya hasira na unafikiri labda mie namtetea marehemu.
 
Kagame pro huyo na ndio maana kagame alianza chokochoko za kufungiana mipaka na Uganda kitu ambacho kwa sasa hakitakuwepo tena

Unamsikia Kagame wewe au unahadithiwa?Yaani Kagame aache kuzinguana na M7 kisa Samia/Magu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana aisee.

We haujui tu kuangalia kwa jicho la kibiashara,Kagame kaifungia mipaka Uganda na sasa Tz inafaidika kwa bidhaa za Tz kuwepo Rwanda kwa 96% tofauti na zamani zilikuwepo kwa 62% na Uganda ina hasara ya karibu $1bil a year kwa kufungiwa mipaka na mikoa ya hapo mpakani kwake imegeuka kua ghost city.Unadhani kipindi kile Cement imeadimika ilikua inaenda wapi na kufanya nini?Kama haujui isingekua Rwanda kufunga mipaka na Uganda hilo deal la cement lilikua linaenda Uganda kwa (Hima Cement).

Na labda hujui tu historia yao vzr,huyo Kagame ashampa kichapo M7(kisangani war)na tena sio mara 1,mara 2.Magufuli alikuwepo au Samia?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu Kagame si aliwekwa na Musevani au nimechanganya habari na baadae wakageukana kutokana na maslahi...
 
Tatizo mkuu unafanya hasira na unafikiri labda mie namtetea marehemu.
Wakati mwingine tuwe tunasameheana kwenye MSAKO WA NYANI NGEDERE HAPONI!!huyu mtu tulikuwa tuna hasira naye sanaaa!!sasa wakati mwingine tukiona mtu namna gani vipi tunapita naye!!!haaaa, nisamehe mkuu!!mfano aliyoyaongea leo MBOWE, huyo alikuwa binadamu kweli ?na ni wangapi wamefanyiwa hayo?!!
 
Tunaomba tukaangalie Kule chini usikute bado anapumua na alikuwa bado anapumua ila wakaona wamuweke tu hivyohivyo kwa kuogopa akirejea mateso yataendelea
 
Ili Prof Assad na wengine wote wanaotaka kuichafua oil chafu wanatakiwa wafanye kinyume na Magufuli kama
"NAAAM....!

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

Vunjeni makao makuu Dodoma mrudishe serikali Dar.

Hapo sasa mtakuwa mmemkomoa Magufuli na watoto wake watashinda njaa ili anyooke kabisa.

Nawasilisha
Taratibu mkuu...usije kutuponyoka kwa hasira hizi.
 
Madai yako umesusa? Hehehe, Rudi kabisa Chato pale ndio nchi yenu ya ahadi kagalegale kwenye kaburi lake labda atafufuka.
Ili Prof Assad na wengine wote wanaotaka kuichafua oil chafu wanatakiwa wafanye kinyume na Magufuli kama
"NAAAM....!

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

Vunjeni makao makuu Dodoma mrudishe serikali Dar.

Hapo sasa mtakuwa mmemkomoa Magufuli na watoto wake watashinda njaa ili anyooke kabisa.

Nawasilisha
 
Utawala wa Jombe Pombe ulikuwa ni utawala wa kishenzi sana, Ni utawala wa kijinga mnoo, ni utawala uliokuwa haujui hata unafanya nini, haukujua hata kesho kutatokea nini, haukuwa na uwezo wa kuona mbali, ilikuwa ilimradi tu panakucha na script mpya, Kauli zake hazizkuwa za kiuongozi, zilikuwa ni kauli za majivuno na ujuaji mwingi. kwa kifupi Mungu ameamu kutupa pumzi mpya.
Ila naimani unaujua mena aliyofanya lakini unajifanya hujui

Naamini ipo siku utayajua tu

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
 
Nchi hii haikuwai na haitakuja kupata kiongozi mshenzi na fedhuli Kama Magufuli. Kati ya sehemu ambayo nitawalaumu milele CCM na TISS yao ni hapa , iweje walazimishe watanzania tuongozwe na mtu mshenzi Kama yule??
Si mbaya. Mungu aliingilia kati
 
Ili Prof Assad na wengine wote wanaotaka kuichafua oil chafu wanatakiwa wafanye kinyume na Magufuli kama
"NAAAM....!

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

Vunjeni makao makuu Dodoma mrudishe serikali Dar.

Hapo sasa mtakuwa mmemkomoa Magufuli na watoto wake watashinda njaa ili anyooke kabisa.

Nawasilisha
Hayo haya justify ushenzi aliokua anaufanya kama kiongozi wa inchi
 
Kwann umempa jina la oil chafu? Kitu kichafu hakichafuliwi kanachanganywa na uchafu mwingine. Acha kutumia hilo jina kama kweli unampenda.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom