[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni mzee wa makamo! Kama miaka 60 hivi na ushee! Ni mganga maarufu wa kienyeji hapa Msata. Wasanii wote wenye majina makubwa na wanasiasa mashuhuri, humtegemea sana kwenye mambo ya kusafisha nyota.
[emoji55][emoji55][emoji55][emoji55]Mganga wa jadi muosha nyota za mademu anaishi tanga ana miaka 56 ila ukimuona Anava sana miwani afu amekomaa kama kaseja wa simba
[emoji102][emoji23][emoji23]Huwezi amini mshana ana 19
Ni mzee alogoma kuzeeka.
[emoji23][emoji23][emoji23]Pale unapoanza kutafutiwa njia ya kurogwa..[emoji41]
Rika yake siijui, Ila umri wake naujua. Umri wake ni Kati ya 38-39. Chagua rika ya kumuweka hapo. Kama utataka kijana, mzee, mtoto, mvulana, msela ni wewe tu mleta uzi.
Huyu nae ni celebrity? Hii thready pia itambaze majukwaa tajwaUyo jamaa simwelewagi apa jukwaani kama ni kijana au mzee make kila jukwaa yupo mambo ya kitoto utamkuta uchumi siasa mpaka kwa akina harmonize tofauti na watu wengine
Si umenichomesha mahindi semegi[emoji134][emoji134][emoji102][emoji102][emoji102][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata wewe unanisengenya?
Si umenichomesha mahindi semegi[emoji134][emoji134]
bana we kama hujui hadi leo kua mshana ana kimbilia 29 shauri lako
toto hiloooo tena Toto kweli nakwambia achana na ile minyama
Hata sambusa inayo kama ni kuonekana kila thread hata naniii anaonekana