Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni mzee wa makamo! Kama miaka 60 hivi na ushee! Ni mganga maarufu wa kienyeji hapa Msata. Wasanii wote wenye majina makubwa na wanasiasa mashuhuri, humtegemea sana kwenye mambo ya kusafisha nyota.