Wakuu naona kama tumepigwa. Sijui pesa za serikali na mikopo zinaenda wapi. Mimi kama mtanzania wa kawaida najaribu kutupia jicho huku na kule kuona kama kuna chochote cha maana kinaendela hasa miundo mbinu ya barabara na ambayo ina faida kwa wanyonge. Sisi hatupandi ndege kama wao.
Barabara ndio neema pekee ambayo ikijengwa sote wanaccm na wanachadema tunapita. Tofauti na Ndege wanafaidi wenye chama chao.
Mnipe taarifa kama kuna anayefahamu wapi kuna ujenzi wa barabara. Je tumepigwa ganzi la miundo mbinu??
Au jitihada zimewekwa mpaka anayedaiwa kuwa Gaidi Mbowe afungwe kwanza??