Mbekenga
JF-Expert Member
- Jun 14, 2010
- 3,262
- 8,144
Sasa hivi ni mwendo wa barabara kiwango cha changarawe huko vijijini. Hizi za lami pia zipo ila kasi kusema ukweli imepungua. SGR pia naona inaendelea kwa mwendo wa kinyonga lakini mafundi wapo kazini huko Moro.
Daraja la Mwanza/busisi pia kazi inaendelea. Bwawa la maji sina taarifa zozote. Kiujumla kazi inaendelea ila kwa mwendo wa pole kiasi kwamba JIWE angekuwepo kuna miradi ingekuwa imeisha.
Daraja la Mwanza/busisi pia kazi inaendelea. Bwawa la maji sina taarifa zozote. Kiujumla kazi inaendelea ila kwa mwendo wa pole kiasi kwamba JIWE angekuwepo kuna miradi ingekuwa imeisha.