Hizi zilianza toka 2019Kuanzia Magomeni kuelekea Mbagala wanajenga mwendokasi. Mataa ya VETA wanajenga flyover, kuna SGR inajengwa vipande mbalimbali, bwawa la umeme na Feb moja wamemaliza ujenzi wa daraja Agha Khan
Makongo juuWakuu naona kama tumepigwa. Sijui pesa za serikali na mikopo zinaenda wapi. Mimi kama mtanzania wa kawaida najaribu kutupia jicho huku na kule kuona kama kuna chochote cha maana kinaendela hasa miundo mbinu ya barabara na
mbayo ina faida kwa wanyonge. Sisi hatupandi ndege kama wao.
Barabara ndio neema pekee ambayo ikijengwa sote wanaccm na wanachadema tunapita. Tofauti na Ndege wanafaidi wenye chama chao.
Mnipe taarifa kama kuna anayefahamu wapi kuna ujenzi wa barabara. Je tumepigwa ganzi la miundo mbinu??
Au jitihada zimewekwa mpaka anayedaiwa kuwa Gaidi Mbowe afungwe kwanza??
Hata yeye alipoingia alimalizia ya mtangulizi wake baadae akaanza mipyaHizi zilianza toka 2019
SawaMakongo juu
Wakuu naona kama tumepigwa. Sijui pesa za serikali na mikopo zinaenda wapi. Mimi kqma.mtanzania wa kawaida najaribu kutupia jicho huku na kule kuona kama kuna chochote cha maana kinaendela hasa miundo mbinu ya barabara an..
Iyo barabara ni Kitambo sana na Halima Mdee aliipigia sana kelele na hadi leo haijaishaMakongo juu
Duuh kumbe barabara kukuuIyo barabara ni kitambo sana na halima Madee aliipigia sana kelele na hadi leo haijaisha
Labda jamaa alitaka waache kujenga zilizokuwepo waanze nyingine! Hizi zilizobaki mbona ni mzigo tosha! Nimesikia wanataka kuendeleza Kimara -kibaha highway ifike hadi Chalinze.Kuanzia Magomeni kuelekea Mbagala wanajenga mwendokasi. Mataa ya VETA wanajenga flyover, kuna SGR inajengwa vipande mbalimbali, bwawa la umeme na Feb moja wamemaliza ujenzi wa daraja Agha Khan
Jambo zuriLabda jamaa alitaka waache kujenga zilizokuwepo waanze nyingine! Hizi zilizobaki mbona ni mzigo tosha! Nimesikia wanataka kuendeleza Kimara -kibaha highway ifike hadi Chalinze.
Daraja nayo ni sehemu ya bara bara. Jikumbushe Daraja la Tanzanite na mengine mengi tu.Wakuu naona kama tumepigwa. Sijui pesa za serikali na mikopo zinaenda wapi. Mimi kama mtanzania wa kawaida najaribu kutupia jicho huku na kule kuona kama kuna chochote cha maana kinaendela hasa miundo mbinu ya barabara...
Barabara ya tanga Pangani inajengwa. Njoo Mwangombe to Mwakidira, to Mwahako, Kirare etc utaona kazi motomoto.Wakuu naona kama tumepigwa. Sijui pesa za serikali na mikopo zinaenda wapi. Mimi kama mtanzania wa kawaida najaribu kutupia jicho huku na kule kuona kama kuna chochote cha maana kinaendela hasa miundo mbinu ya barabara...
Kwanini uanze mpya wakati za zamani hujazimaliza? Ni akili gani hii? Yaani tuanze SGR mpya toka Dar mpaka Mtwara wakati iliyopo hatujaimaliza. Hilo siliungi mkono wala sitaki Mama afikirie kuanza miradi mingi mikubwa kama si ya Emergency.Hizi zilianza toka 2019
Kwa hiyo hizo zilizoanza 2019 zinajengwa kwa makaratasi au inatumika pesa? Au ulitaka miradi mikubwa aliyoacha marehemu ambayo inagharimu fedha nyingi aitelekeze aanzishe ya kwake? Hata Marehemu JPM alikuta miradi inaendelea.. wajibu wake ulikjwa kumalizia aliyoikuta na kuanzisha mipya.. bahati mbaya JK hakuacha miradi mingi mikubwa ambayo haikuisha hivyo ikawa Rahisi kwa JPM kuanzisha mpyaHizi zilianza toka 2019
Kazi za ujenzi anafanya sana tu ila kurugenzi ya mawasaliano ya Shaban Kisu ilikuwa hopelessIjapokuwa mimi si mshabiki wa kijani lakini juzi wakati natokea Kigoma kwenda Kampala uganga nimeona wakandarasi kuanzia Makele Kigoma mpaka Kakonko wana magari mengi yameandikwa sharkman. Ni makampuni ya wachina ila sikuwa makini sana kuyasoma sababu nilichoka sana kwa kupita kwenye njia za mchepuko lakini kwingineko sijaona
Hivi Pangani to Bagamoyo imo kwenye ratiba? Au ni hiki kipande tuPangani to tanga Mjini contractor yupo site muda huu