Anayejua sehemu yoyote penye ujenzi wa barabara kwa sasa anistue. Mimi sijaona tangu awamu ya 6 iingie madarakani

Sasa hivi ni mwendo wa barabara kiwango cha changarawe huko vijijini. Hizi za lami pia zipo ila kasi kusema ukweli imepungua. SGR pia naona inaendelea kwa mwendo wa kinyonga lakini mafundi wapo kazini huko Moro.

Daraja la Mwanza/busisi pia kazi inaendelea. Bwawa la maji sina taarifa zozote. Kiujumla kazi inaendelea ila kwa mwendo wa pole kiasi kwamba JIWE angekuwepo kuna miradi ingekuwa imeisha.
 
He
Labda jamaa alitaka waache kujenga zilizokuwepo waanze nyingine! Hizi zilizobaki mbona ni mzigo tosha! Nimesikia wanataka kuendeleza Kimara -kibaha highway ifike hadi Chalinze.
Dah kwa iyo mkopo unatafutwa . Si deni la taifa litafika trillion 150
 
Barabara ya tanga Pangani inajengwa. Njoo Mwangombe to Mwakidira, to Mwahako, Kirare etc utaona kazi motomoto.
Pamoja na hayo bado tunapigwa kisawasawa
Nimecheka balaa
 
Anyway, hili ni jukwaa letu sote na wenye uelewa wa viwango vyovyote πŸ™
 
Awamu ya sita imejaa wahuni na machawa tu kama akina Mwijaku. Huyu mama anapendwa na machawa tu wanaokula kwa urefu wa kamba mitaani hapendeki kabisa.
 
Kuna r
kwenye kurasa za TAMISEMI kuna mengi yame fanyika. Ila watanzania ni watu wa kupinga na chuki binafsi. Mtu ana mchukia JK ukimuuliza hana sababu.
 
Unataka kwenda kuiba simenti?
 
Kuna Barbara za mkoa wa Kigoma zinajengwa hivi sasa. Kibingo-Nduta, Kibingo-Kibondo-Nduta, Nduta- Mvugwe na Mvugwe Kanyani. Watu wako kazini na kazi inaonekana kufanyika.

 
Huyu mama siyo mwizi shida usimamizi tu ni changamoto kwake ndiyo maana wahuni wanaokula kulingana na urefu wa kamba yao hawawezi kusema hafanyi kitu hata siku moja
 
Wakuu naona kama tumepigwa. Sijui pesa za serikali na mikopo zinaenda wapi. Mimi kama mtanzania wa kawaida najaribu kutupia jicho huku na kule kuona kama kuna chochote cha maana kinaendela hasa miundo mbinu ya barabara...
Mbweni Malindi kwenda Mbweni Mpiji kazi imeanza hivi karibuni.
 
Kuna r

kwenye kurasa za TAMISEMI kuna mengi yame fanyika. Ila watanzania ni watu wa kupinga na chuki binafsi. Mtu ana mchukia JK ukimuuliza hana sababu.
Sidhani Hata JK alikuwa na tatizo hilo hilo la Samia anafanya mengi halafu hasemi wala mawaziri hawasemi ndio maana alikuwa anaonekana kama dhaifu asiyefanya kitu

Kodi za watu kutumia piga yowe presss kuwa angalia kile kinafanyika

Nina Imani na Zuhura Yunus ata coirdinate hilo zoezi kila mwezi mawaziri wote wapeleke briefing ya nini kinafanyika positive wizara zao wampe raisi atumie kuhutubia hotuba ya kila mwezi as a monthly progress report kuongea na watanzania ukimya sio mzuri
 
Kuanzia Magomeni kuelekea Mbagala wanajenga mwendokasi. Mataa ya VETA wanajenga flyover, kuna SGR inajengwa vipande mbalimbali, bwawa la umeme na Feb moja wamemaliza ujenzi wa daraja Agha Khan
Kipofu huyo.
 
Barabara ya kuelekea Kibosho Umbwe, Moshi inaendelea kujengwa kuanzia Njia ya Manushi na sasa imefika Kwa Editha.

Barabara ya Kimara- Kibaha inaendelea kujengwa ambapo sasa hivi mkandarasi anamalizia njia ya Mwendo Kasi ikiwemo kuweka mataa na kingo.

Barabara ya kutoka Urafiki, DSM kuelekea Mabibo inaendelea kujengwa.

Kuna ile ya kutoka Survey kwenda Goba kupitia Makongo ipo kwenye ujenzi.

Barabara ya Kilwa BRT inajengwa kwa kasi ya ajabu.

Bado Stendi Kuu ya Mabasi na daladala pale Mkuranga itaanza kujengwa hivi karibuni
 
Misukule ya Mbowe na Mwendazake mna matatizo sio kidogo..

Miradi ni countless,pitia tovuti za wizara husika na fuatilia accounts za mitandao ya kijamii za viongozi wa Wizara ..

Some of hiyo miradi ni kama ifiatavyo πŸ‘‡



































 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…