Zilianza pindi. Baba akiwa madarakani so lete za after alipotoka madarakaniKuanzia Magomeni kuelekea Mbagala wanajenga mwendokasi. Mataa ya VETA wanajenga flyover, kuna SGR inajengwa vipande mbalimbali, bwawa la umeme na Feb moja wamemaliza ujenzi wa daraja Agha Khan
Baba yako aliacha pesa za kujengea? Kwa nini hakuzimaliza kwa miaka 6? Alitaka aje azimalize Samia kwa mwaka mmja?Zilianza pindi. Baba akiwa madarakani so lete za after alipotoka madarakani
Nilipita hapo June 2020 walikuwepo. Nakumbuka watu wa Kakonko walikuwa positive sana. Tulisimama pale kula chakulaIjapokuwa mimi si mshabiki wa kijani lakini juzi wakati natokea Kigoma kwenda Kampala uganga nimeona wakandarasi kuanzia Makele Kigoma mpaka Kakonko wana magari mengi yameandikwa sharkman. Ni makampuni ya wachina ila sikuwa makini sana kuyasoma sababu nilichoka sana kwa kupita kwenye njia za mchepuko lakini kwingineko sijaona
Huku MWEMBEKIUNO ipo inajengwa
Weka photo basiNjoo mbweni kumenoga
Maneno matupu bila picha/ video??Kiukweli wapigania legacy wamekwama kiasi kwamba hawajui hata pakutokea, yaani wamechanganyikiwa. Ushahidi ni huu uzi wa huyu mlinda legacy aliyezunguka kitongoji cha kilolo huko na kisha kudhani kuwa amezunguka Tanzania nzima.....wanachekesha sana!!
Mama ukimaliza kuhitimisha hii miradi ya marehemu jpm, shughulikia, kwa nguvu zote na kwa uhakika, kero ya jangwani wazidi kuchanganyikiwa.......tunataka kuona kiwango cha mwisho cha kuchanganyikiwa kinakuwaje!!
🤣🤣🤣🤣wachovu hao.Huku makongo kuna kikampuni kinajenga kilometa moja ya barabara mwaka wa kumi huu wanahangaika hapo hapo, mara wamwage maji, kifusi, kokoto, watifuetifue, wanaanza hapa wanaacha, wanahamia kwingine wanaacha, wanaweka pale lami wanaacha, wanarudi tena baada ya mwaka wanachimba mashimo. Kifupi ni kwamba wanahangaika tu na barabara haiishi...........sasa nikawa najiuliza hawa wakipewa kilometa 500 wanaweza kutumia karne nzima kukamilisha.
wajipimie🤣🤣Maendeleo yenyewe ndiyo haya👇🐒🐒🐒View attachment 2105420
Weka pichaKuanzia Magomeni kuelekea Mbagala wanajenga mwendokasi. Mataa ya VETA wanajenga flyover, kuna SGR inajengwa vipande mbalimbali, bwawa la umeme na Feb moja wamemaliza ujenzi wa daraja Agha Khan
Nina mashaka na hii.mwendokasi inaweza ikaisha 2027. Binafsi kwa jinsi navyoona uendeshaji wa BRT ulivofeli vibaya ninashauri zingejengwa barabara nyingi tuu lakini sio mwendokasi tena .Kuanzia Magomeni kuelekea Mbagala wanajenga mwendokasi. Mataa ya VETA wanajenga flyover, kuna SGR inajengwa vipande mbalimbali, bwawa la umeme na Feb moja wamemaliza ujenzi wa daraja Agha Khan