Anayejua swift code ya NMB Bank naomba msaada.

Anayejua swift code ya NMB Bank naomba msaada.

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Habari wakuu
Nahitaji swift code ya benki ya NMB .Inasomeka NMIBTZTZ. Hiyo character ya tatu ni namba 1 au ni herufi I ? Napiga namba zao za customer care hakuna option ya kuongea na mhudumu!
 
Ila watu mna masihara sana na hela.
Screenshot_20220915-101503.png
 
Asanteni wote kwa majibu. Nilikuwa na mashaka kwa sababu nilienda branch yao moja wan dawati la wateja pale nje mhudumu akaniambia ni NM1BTZTZ
 
Back
Top Bottom