Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani mm naomba kujua IDADI ya waliomba UDSM BA ECONOMICS....
admission capacity ya hiyo kozi ni watu 150 na chuo ni bugando kozi ni MD
kuna ndugu yangu mwaka jana alipata 12 ya PCB with CHEM C ,BIOS C PHY S walimchagua kozi yake ya tano ambayo ni nursing!
kuna ndugu yangu mwaka jana alipata 12 ya PCB with CHEM C ,BIOS C PHY S walimchagua kozi yake ya tano ambayo ni nursing!
nenda kwenye tcu account yako, upande wa my profile+selected program+elekeza mshale wa mauce kwenye code namba ya hyo course yako ya economics utajua jbu lakoo! Overrrrr
Wanafanya hivi unashindanishwa kwenye ile kozi ya kwanza uliyoomba na wenzako kama ukishindwa unapelekwa kozi ya pili huko nako unashindana hivyo hivyo mpaka no 5 ukikosa kuna kurudia msihofu.
mkuu! kwa mfano ikiwa admssn cpcty ya course ni 141 walioapply ni 648 eligible ni 246 na tulioweka first choice ni 58 tuu! Vp nawezaa kupata hyoo course mkuu
Inawezekana hao walioomba kozi hiyo wakapata sehemu hasa walizochagua kama first choices hivyo hawajikushindana na wewe ukawa umepata ugumu unakuja pale unapoomba kozi yenye ushindani ukiwa na ufaulu hafifu ukishindana unatolewa na wenye sifa kukuzid