Anayejua tcu wanavyofanya selection! Msaada tafadhali

Anayejua tcu wanavyofanya selection! Msaada tafadhali

luofe

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2011
Posts
330
Reaction score
143
mfano kozi yakwanza total applicant 678
eligible 340
first choise 29
kuna possibility ya kuchaguliwa kozi ya pili au ya tatu kwa mtu kama huyo
 
Admission capacity ya hiyo course ni ngapi?
 
inategemea na chuo pia na course ulizoomba....
 
Kwel mie pia swala hili lina niumiza kichwa sana.MWENYE UELEWA NA HILI SWALA ATUJULISHE JAMANI
 
admission capacity ya hiyo kozi ni watu 150 na chuo ni bugando kozi ni MD
 
jamani mm naomba kujua IDADI ya waliomba UDSM BA ECONOMICS....
 
jamani mm naomba kujua IDADI ya waliomba UDSM BA ECONOMICS....

nenda kwenye tcu account yako, upande wa my profile+selected program+elekeza mshale wa mauce kwenye code namba ya hyo course yako ya economics utajua jbu lakoo! Overrrrr
 
admission capacity ya hiyo kozi ni watu 150 na chuo ni bugando kozi ni MD

nahc utapta hyo hyo uliyoweka first choice! Coz me mwenyewe kama ww admssn cpcity 141, applied 648, eligible 246, first choice tupo 58!! Niliambiwa na sister mmoja hivi anasoma pale ardhi 2nd year!! Ila khcu mchakato wa kuchagua wanavyofanya cjui! Ila najipaa hope ktkana na hyo idadi ya tulioweka hyo course as first choice!! Overrrrrrr
 
kuna ndugu yangu mwaka jana alipata 12 ya PCB with CHEM C ,BIOS C PHY S walimchagua kozi yake ya tano ambayo ni nursing!
 
kuna ndugu yangu mwaka jana alipata 12 ya PCB with CHEM C ,BIOS C PHY S walimchagua kozi yake ya tano ambayo ni nursing!

inategemea na machaguo yake ya 1 had ya 4 labda yalikuwa na compettn kubwa! Also kumbka Mwaka jana dv1 zlkuwa nyng tofaut na mwaka huu
 
kuna ndugu yangu mwaka jana alipata 12 ya PCB with CHEM C ,BIOS C PHY S walimchagua kozi yake ya tano ambayo ni nursing!

hufaulu wa mwaka jana na mwaka huu ni tofauti...
 
nenda kwenye tcu account yako, upande wa my profile+selected program+elekeza mshale wa mauce kwenye code namba ya hyo course yako ya economics utajua jbu lakoo! Overrrrr

mkuu umenena vema..tatizo nataka nimwangalizie ndugu yako yupo kijijini sana...naomba niulizie ata kwa watu. thanks
 
Mkuu marafk zngu weng hawajajaza hyo course! Ila kwa kukusaidia mwambie akutumie number yake na passwrd then ww ukamuangalizie!!
 
Wanafanya hivi unashindanishwa kwenye ile kozi ya kwanza uliyoomba na wenzako kama ukishindwa unapelekwa kozi ya pili huko nako unashindana hivyo hivyo mpaka no 5 ukikosa kuna kurudia msihofu.
 
Kumbuka kwamba unaweza kuwa mliokiomba chuo kama first applicants ni wachache lakini kwenye second applicants wakawa wengi hivyo watakapokuja watakutoa maana wanakuzidi sifa hivyo kama una sifa legelege na umeomba kozi zenye ushindani imekula kwako.
 
Wanafanya hivi unashindanishwa kwenye ile kozi ya kwanza uliyoomba na wenzako kama ukishindwa unapelekwa kozi ya pili huko nako unashindana hivyo hivyo mpaka no 5 ukikosa kuna kurudia msihofu.

mkuu! kwa mfano ikiwa admssn cpcty ya course ni 141 walioapply ni 648 eligible ni 246 na tulioweka first choice ni 58 tuu! Vp nawezaa kupata hyoo course mkuu
 
Inawezekana hao walioomba kozi hiyo wakapata sehemu hasa walizochagua kama first choices hivyo hawajikushindana na wewe ukawa umepata ugumu unakuja pale unapoomba kozi yenye ushindani ukiwa na ufaulu hafifu ukishindana unatolewa na wenye sifa kukuzid
 
hamnaga shidaaa hapoo!!
 
Daaaagh...it sucks.....tcu kule mbona sielewi elewiii tu???....
 
Back
Top Bottom