Anayejua Wasifu wa Ramadhan Kingai (ACP) atusaidie

Mimi muwazi Polisi na najeshi wazingatie elimu na weledi tukiangalia Udini tu itakuuwa shida huyo alifikaje kuwa na cheo kikubwa hivyo wakati kichwani mweupe?
Udini unao wewe unaouhubiri humu ndani kila uchao.....

Hivi huonei aibu nafsi yako "koko"?!!
 
Hiyo sura kwa sisi tuliopitia psychology anaonekana kabisa na mental case… he looks like mongolian idiot!!
Much know tu pale lakini ni empty kabisa huyu kada, huwezi kuwa critical thinking ukawa police.
Critical thinking unakuwa kwenye international organization.
 
Much know tu pale lakini ni empty kabisa huyu kada, huwezi kuwa critical thinking ukawa police.
Critical thinking unakuwa kwenye international organization.
Polisi ni taasisi....taasisi gani inakosa CRITICAL THINKERS?!!!

Acha maskhara ya kitoto ndugu yangu.....
 
unaeweza kuta elimu yake kubwa ni kujua kusoma na kuandika halaf anakoment kwa mawazo yake ya kidini sio vzr kujiona mbora sana zaidi ya wengn na wala usidharau dini ya mtu wala kumhukumu kwa dini yake
 
Upo sahihi Mkuu hawa wengine inabidi tuwaangalie tuu unaona uwezo wake ndio umefikia pale na huwezi kumbadilisha mtu mwenye chuki za kidini au ukabila ni sumu mbaya sana kwa Taifa hao...
Hao ni machizi tu...
 
Kwani unahitajika kitu gani ili uajiriwe na kuwa polisi ,je vyeo vya kipolisi vinaendana na elimu aliyosoma mtu ? isije kuwa mnaongelea mambo ambayo hamyafahamu ,mupo mpo tu !
 
unaeweza kuta elimu yake kubwa ni kujua kusoma na kuandika halaf anakoment kwa mawazo yake ya kidini sio vzr kujiona mbora sana zaidi ya wengn na wala usidharau dini ya mtu wala kumhukumu kwa dini yake
Yehodaya anajulikana humu ndani....

Huyo dada ni mdini ile mbaya.....

Mara nyingi watu wenye ubaguzi wa kidini wanakuwa na IQ ndogo....haijalishi kama wamesoma ama laa....chunguza tu utaligundua hilo.....🤣
 
Lakini pia maswali ya mawakili yana mitego sana, anakuuliza vitu we unaona maswali marahisi kumbe unaenda kujifunga huko mbele
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] na hapo ndo unatakiwa kuwa makini sana.... Maana uyu shahidi ana uzoefu nilitegemea kutegua mitego ya wakili kibatala lakini ndo aliishia kuomba kukojoa na pale alikuwa adi anatetemeka ndo wakamtoa kidizaini akakojoe ili awe sawa!!!! Maana walipokuwa wanaelekea angeshidwa kuongea na angekaa kimya na ingekuwa hasara kwa jamuhuri[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nilichogundua hawa jamaa hawana uwezo wakupeleleza kesi huwa wanabambikia raia wengi sana kesi kama huyu ndo mkuu wa kitengo na majibu ndo haya kazi ipo walahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii comment yako ndiyo inaonyesha ulivyo na akili ndogo! Hii ni fallacy generalization. Aliyeenda shule haongei upuuzi kama huu hata kama ni kuhusu Wahdzabe.
 
Ninachojua ni muislamu

Elimu sijui sababu waislamu wengi isipokuwa wachache huwa hawapendi elimu dunia ila wanataka haki Sawa kwenye ajira na vyeo ikiwemo Polisi wakati eimu hawana
Acha kubwabwaja kama kasuku kwa mambo usiyoyajua.
Jina : Ramadhani kingai
Umri: sijui
Kabila : msambaa
Alipozaliwa: bumbuli/ lushoto/ Tanga
Dini: Muislamu
Elimu : BA (PS& PA) UDSM
sec: : Galanos sec school Tanga
Primary: BUMBULI pr school
Miaka ndo sijui.
 
unawez kuta ht kingai kamzid elimu..huyo mropokaj
 
Nahisi ni expert wa torture
Loh,tunarudi tena yale ya Kihiyo!!Kwenye kesi ya Mrema kuna msambaa kuna mtu aliyakoroga akiitwa Kihiyo.Sasa tena Msambaa anayeitwa Kingai,Mmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…