Kutanguliza ushabiki mbele kwa masuala ya msingi ni kujidanganya kabisa....kesi IPO ...Jamhuri sio wajinga kihivyo Kama mnavyojidanganya...kwenye kesi za namna hii evidence moja tu...inaweza ikaamua hatima ya kesi ...sisi wengine ni wafuatiliaji wazuri wa kesi za Aina Hii zikiwemo za uhaini dhidi ya wale waliotaka kumpindua Nyerere..Hapa hamna kes