Anayejua Wasifu wa Ramadhan Kingai (ACP) atusaidie

Anayejua Wasifu wa Ramadhan Kingai (ACP) atusaidie

Naona usingizi umekutoka maana sio Kwa kutetea uozo wa shishiemu wenzako kabla ya Leo! Mtaamka wote wafia shishiemu na hakutakiwa na hata mmoja wenu atakayekaa upande ule mlikokuwa!
By the way, Lumumba fc wanakusoma au wanakuchungulia na kusepa?
@ USSR, jingalao, idegenda, et Al mnaitwa hapa kwani mwenzenu anavunja mwiko wenu!
Cc Ritz
 
Sijui tatizo liko wapi. Pamoja na mkubw huyu kusikiliza maelezo ya mtoa taarifa bado sio yeye alifungua jalada! Hata ushiriki wake katika kufanya utafiti hakusema hata kama waliotoa tahadhari kwa kituo chochote cha mafuta ili kuepusha maafa. Au kuweka doria kulinda mali hizo! Ni wazi hata yeye alijua matendo hayo yasingefanyika!! Mipango!!
 
Eti..
Screenshot_20210915-225315~2.jpg
 
Ikibainika wamembambikizia kesi ya uongo ni bora jeshi la polisi lifutwe tujilinde wenyewe
 
Mimi sifuati mkumbo. Natumia akili zangu.
Hiyo akili !Ni dalili ya mwanamke asifikishwa kileleni huwa ana stress.Wewe ni mgonjwa tafuta ti
Naona usingizi umekutoka maana sio Kwa kutetea uozo wa shishiemu wenzako kabla ya Leo! Mtaamka wote wafia shishiemu na hakutakiwa na hata mmoja wenu atakayekaa upande ule mlikokuwa!
By the way, Lumumba fc wanakusoma au wanakuchungulia na kusepa?
@ USSR, jingalao, idegenda, et Al mnaitwa hapa kwani mwenzenu anavunja mwiko wenu!
Magonjwa Mtambuka Iboya2021 mama D magu2016 Ritz Wakudadavuwa Simiyu Yetu
 
Kwani CV ya Mbowe yenyewe ikoje ?Subirini dawa iwaingie. Mtu anakwenda jela maisha.

Natamani kumshauri kaka mbowe kitu kimoja tuu sasa.

Haya mambo yanayomkuta atafute chanzo chake atengeneze mapema.... hii ni vita yake mwenyewe, vita ya hatma yake, vita iliyopata nafasi ya kupitia kwenye kazi zake inaenda kumharibu.

Tatizo lipo ila mzizi wa tatizo ni nini? Asipokumbuka alipoangukia akatengeneza ataishia kuumia kwelikweli

Mungu amsaidie kutengeneza kwa kweli
 
Mwinyi alipishika uraisi alitaka alindwe na waislamu akapewa waislamu kilichomkuta diamond Jubilee alipigwa makofi na kiijana mdogo mjahidina. Muislamu sababu alipewa miislamu swala tano iliyopanda vyeo kwa kelele za kidini tu ohh tunabaguliwa kumbe elimu na competence zero akaishia kuwa Raisi wa kwanza kulambwa vibao hadharani tena na kijana mdogo muislamu kwenye hafla ya kiislamu
Una chuki na Uislamu comments zako zinaonesha hivyo kama alishindwa filauni wewe kajambanani utaweza kueneza uwongo juu ya Uislam
 
Polisi ajirieni watu kwa elimu na kuwapandisha vyeo kwa elimu na weledi sio Udini tu ona sasa aibu hii mtu ana mivyeo kibao hata Hati ya mashtaka hakusoma inaasema nini msisikilize wanasiasa
IGP ni muislamu? Waziri wa Mambo ya Ndani ni muislamu?

Amandla...
 
Back
Top Bottom