Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hawa huwa wanategemea Mazongo tuMsambaa wa vuga,Soni lushoto ,bumbuli au korogwe[emoji1]
Sura ya kigosi kabisa hio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa huwa wanategemea Mazongo tuMsambaa wa vuga,Soni lushoto ,bumbuli au korogwe[emoji1]
Sura ya kigosi kabisa hio
ondoa shakaHahaha sidhami kama mahakama ina uwezo wa kutoa ruhusa mashahidi wakate gogo wakati kesi inaendelea.
😀😀😀😀😀😀 Ndio vyeo vyakubebana hivyo.Polisi wenyewe huitana maporti.Yaani bosi wa juuu akiwa kabila lako wewe askari wa chini huku unaulaa.Huyi RPC katia doa jeshi la Polisi sanaMuonekano wake hauonyeshi hata kama kusoma na kuandika anajuaView attachment 1939177
Akikujibu nishtue ,huyo ni takataka kama taka taka nyingne .Hajui alisemaloIGP ni muislamu? Waziri wa Mambo ya Ndani ni muislamu?
Amandla...
Mpelelezi anateuliwa kulingana na aina na mazingira ya kesiRPC Kinondoni leo ni shahidi aliyesimama Mahakamani kutoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe na wenzake ya Ugaidi.
Katika kufuatilia cross examination kiongozi huyu wa Jeshi la Polisi amejichanganya sana na hivyo kushindwa kusimama kwa nafasi ya afisa mkubwa kwenye Jeshi na mchunguzi.
Yawezekana tatizo ni elimu au tatizo ni aina ya kesi ndiyo sababu ya yeye kubanwa mahakamani hadi wakati mwingine kupata gaidance ya Mahakama.
Ili tumfahamu vizuri kama ambavyo nchi nyingine ufanya, tunaomba tupate CV yake kuona kama kwenye criminal investigation huyu anaelewa au Basi kawekwa tu.
Lakini pia kesi hii ameanza kuichubguza akiwa Arusha wakati mazingira ya kesi yapo Kilimanjaro na Dar es Salaam, je huyu ndiye alionekana nafuu Kati ya ma RCO nchi nzima au kwanini yeye na si RCO Kilimanjaro Wala Dar?
Tupe kwanza CV yako tuone kwa elimu yako, kama una uwezo wa kuichambua CV ya RPC wa Kinondoni!RPC Kinondoni leo ni shahidi aliyesimama Mahakamani kutoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe na wenzake ya Ugaidi.
Katika kufuatilia cross examination kiongozi huyu wa Jeshi la Polisi amejichanganya sana na hivyo kushindwa kusimama kwa nafasi ya afisa mkubwa kwenye Jeshi na mchunguzi.
Yawezekana tatizo ni elimu au tatizo ni aina ya kesi ndiyo sababu ya yeye kubanwa mahakamani hadi wakati mwingine kupata gaidance ya Mahakama.
Ili tumfahamu vizuri kama ambavyo nchi nyingine ufanya, tunaomba tupate CV yake kuona kama kwenye criminal investigation huyu anaelewa au Basi kawekwa tu.
Lakini pia kesi hii ameanza kuichubguza akiwa Arusha wakati mazingira ya kesi yapo Kilimanjaro na Dar es Salaam, je huyu ndiye alionekana nafuu Kati ya ma RCO nchi nzima au kwanini yeye na si RCO Kilimanjaro Wala Dar?
Wewe mpuuzi dini inahusikaje? Shenzi kabisaMimi muwazi Polisi na najeshi wazingatie elimu na weledi tukiangalia Udini tu itakuuwa shida huyo alifikaje kuwa na cheo kikubwa hivyo wakati kichwani mweupe?
Wewe mpuuzi dini inahusikaje hapo? Acha kuingiza upumbavu wako wa kidini kwenye hoja za msingi! Tangu mwanzo watu wanalalamika ukakasi wa kesi husika sasa dini inahusika vipi? Issue ni kukosa justifiable grounds haijalishi dini gani? Kama maswali hayajibiki, hata muabudu sanamu au muabudu msalaba au muabudu Mungu angechemka. Usihusishe dini na mambo ya hovyo.Ha ha ha! Na huyo ndiye mpelelezi Mkuu wa hii case; what a joke! Yaani ushahidi wake ndio unategemewa kwa asilimia kubwa kumtia Mbowe hatiani! Ha ha ha! Kama mazuri vile!
Ubaguzi! Kuna waislamu wengi tu wamesoma sana na CV zao nzuri kuliko wewe! Wewe peke yako ungekuwa na CV yako iliyo bora kuliko mwisilamu yeyote, ungekuwa na haki kuandika uliyo andika. Lakini kwa sababu huna - basi unatumia chuki na ubaguzi kuchangia.Ninachojua ni muislamu
Elimu sijui sababu waislamu wengi isipokuwa wachache huwa hawapendi elimu dunia ila wanataka haki Sawa kwenye ajira na vyeo ikiwemo Polisi wakati eimu hawana
Unajua jamaa ni mdini mpaka anakera. Kugalagazwa mahakamani kwa jamhuri kwa kesi mbalimbali wala siyo jambo la kwanza na halina uhusiano na dini. Ukiangalia content za Yehodaya huyu Mkatoliki ni udini mtupu, hana loloteUnatatizo na Uislam na Waislam Bro
Bora simama ktk lengo lako....mengine yawache
IGP nae ni muislamu? Nadhani umekuwa na tatizo na waislamu kitambo kama si chuki iliyopitiliza. Wakati taifa linajengwa au umoja wa raia kutengenea watu wenye kauli na uono aina yako ni sumu. Yawezekana unasifiwa ila angalia aina ya sifa unazopewa zingine ni SIFA KIJINGA!! JE WASOMI WANGAPI WANAISIFIKA AMBAO SI WAISLAMU WAMEIINGIZA HII NCHI KWENYE MIKATABA YA KIBWEGE??? Jikite kwenye mada acha udiniPolisi ajirieni watu kwa elimu na kuwapandisha vyeo kwa elimu na weledi sio Udini tu ona sasa aibu hii mtu ana mivyeo kibao hata Hati ya mashtaka hakusoma inaasema nini msisikilize wanasiasa
Unajua jamaa ni mdini mpaka anakera. Kugalagazwa mahakamani kwa jamhuri kwa kesi mbalimbali wala siyo jambo la kwanza na halina uhusiano na dini. Ukiangalia content za Yehodaya huyu Mkatoliki ni udini mtupu, hana lolote
Elimu za bongo mbona yule ana ma PhD na ni waziri wa Tozo uwezo wake kichwani ni kama wa chekechea hakuna la maana atakalobuni kuhusu kodi na Nchi ikaendelea kumsikiliza yule jamaa hakuna tofauti za kile kipindi cha Ze comed...Kama mwenyekiti wako mbowe alipiga zero na huchoki kumtetea humu we ni kilaza mkubwa
USSR
sijui kama hii pia itamsaidia mbowe,au ni furahisha ng'ombe tu.Nasikia bwana kinga hadi mavi yakambana ikabidi aende kwanza kushusha mzigo ili arudi kuhojiwa vizuri
Lusungo wewe kiboko aisee...mimi nimeshangaa sana ujue Mama aliwahi sema wana ushahidi na kesi ya Mbowe haonewi naona sasa atawaelewa manjagu alikua hawafahamu...Hiyo sura kwa sisi tuliopitia psychology anaonekana kabisa na mental case… he looks like mongolian idiot!!
Daah mnatuua kweli Wazee mimi nadhani yeye sio kwa waislamu wote ukisema hivyo ina maana hiyo kesi walioandaa wote Waislamu hakuna Mkristo hata mmoja...Ukishasikia tu Ramadhani, kumbuka hata uliosoma nao hakunaga Ramadhani mwenye akili
Ahaa kumbe jinsia ile!!! Kikubwa jitambue tu kibuti isiwe sababu ya chuki kwa wote.Aibu loo
Watamuaibisha sana na nadhani jana ameanza kupata picha ya aibu ya taifa inayokuja!!Lusungo wewe kiboko aisee...mimi nimeshangaa sana ujue Mama aliwahi sema wana ushahidi na kesi ya Mbowe haonewi naona sasa atawaelewa manjagu alikua hawafahamu...
Prof Lipumba Ni kafiri?Ninachojua ni muislamu
Elimu sijui sababu waislamu wengi isipokuwa wachache huwa hawapendi elimu dunia ila wanataka haki Sawa kwenye ajira na vyeo ikiwemo Polisi wakati eimu hawana
Andika kiswahili lugha hujui, siyo hawako competence, usahihi andika hawako competent.Haya ulipaswa uwaeleze wakristo wenzako wanaowateua watu ambao hawako competence