Chuo gani mkuu, angalia post yako kuna maelezo umeacha!!
Hicho chuo kinamilikiwa na TRA, kipo mikocheni, unaingilia Mwenge ITV, fuata njia inayokwenda ITV, kipo mkono wa kulia, utayaona majengo yao!
Dogo yuko mkoa mimi ndiyo niko dar, nilitamani kwenda physically.
Mkuu yeye ndio kakosea. so mtu akikisea harekebishwi?Kile cha ITV kinaitwa INSTITUTE OF TAX ADMINISTRATION (ITA) Na sio kama mlivyo elekeza majina tofauti sikuhizi vyuo vya uchochoroni vingi
Mkuu yeye ndio kakosea. so mtu akikisea harekebishwi?
Tanzania hatuna chuo cha Tax management bali Tax administration. Je hicho alicho uliza unajua kilipo?.
wewe unataka kumchanganya. Kama vipi aende pale watampa maelekezo ya ziada.