Anayekifahamu chuo hiki anisaidie ndugu zangu wana jf.

Anayekifahamu chuo hiki anisaidie ndugu zangu wana jf.

Tiger

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2007
Posts
1,747
Reaction score
386
Kuna bwana mdogo wangu ana diploma ya accounts anahitaji kujiendeleza. Naomba kujua chuo kiko wapi[INSTITUTE OF TAX MANAGEMENT] hapa dar, na kinamchukua mtu wa sifa gani.
Dogo anasema kapitia website yao hakupata data za kutosha. Namba ya simu ipo ila haipokelewi.
Msaada tafadhali.
 
Dogo yuko mkoa mimi ndiyo niko dar, nilitamani kwenda physically.
 
Chuo gani mkuu, angalia post yako kuna maelezo umeacha!!
 
Hicho chuo kinamilikiwa na TRA, kipo mikocheni, unaingilia Mwenge ITV, fuata njia inayokwenda ITV, kipo mkono wa kulia, utayaona majengo yao!
 
Hicho chuo kinamilikiwa na TRA, kipo mikocheni, unaingilia Mwenge ITV, fuata njia inayokwenda ITV, kipo mkono wa kulia, utayaona majengo yao!

Jamiiforums bana.
Asante mkuu.
 
hiyo ndio jf na faida zake jamaa kauliza swali na ameelekezwa vzr kabisa! Tutumie mitandao ya kijamii kwa manufaa zaidi kuliko kubomoa
 
soma hii ramani mkuu. anzia hapo itv shuka na hiyo barabara. mwisho kabisa wa barabara ndo kuna chuo
attachment.php
 
Attachments

  • itra.png
    itra.png
    140.4 KB · Views: 264
Kile cha ITV kinaitwa INSTITUTE OF TAX ADMINISTRATION (ITA) Na sio kama mlivyo elekeza majina tofauti sikuhizi vyuo vya uchochoroni vingi
 
Kile cha ITV kinaitwa INSTITUTE OF TAX ADMINISTRATION (ITA) Na sio kama mlivyo elekeza majina tofauti sikuhizi vyuo vya uchochoroni vingi
Mkuu yeye ndio kakosea. so mtu akikisea harekebishwi?
Tanzania hatuna chuo cha Tax management bali Tax administration. Je hicho alicho uliza unajua kilipo?.
wewe unataka kumchanganya. Kama vipi aende pale watampa maelekezo ya ziada.
 
Vyuo vya mtaani vingi siku hizi mkuu unaweza kukuta kipo hicho
 
Back
Top Bottom