Anayekwenda Moshi mchana kwa usafiri binafsi toka Dar jumatatu ijayo tuwasiliane

Anayekwenda Moshi mchana kwa usafiri binafsi toka Dar jumatatu ijayo tuwasiliane

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Habari wakuu,

Kama kuna yeyote anayesafiri kwa usafiri binafsi (Noah au gari nyingine yenye nafasi ya kutosha) kutoka Dar kwenda Moshi mchana kuanzia saa tisa siku ya jumatatu tarehe 20/03/2023 na ana nafasi ya watu wawili tafadhali tuwasiliane inbox.

Shukran.
 
Wachaga March wanaenda kufanya nini home
 
Hao abiria watarajiwa ni wa jinsia na umri gani? Tuanzie hapo kwanza.

Kutaja jinsia na umri wao kuna uwezo mkubwa sana wa wakupatia usafiri.
 
Back
Top Bottom