Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Hakuna aijuaye kesho yake, sisi sote tu wapitaji katika hii dunia!Hao wanaonea watu wana mkataba na Mungu wa kuishi hadi 2025
Kama hili ni ukweli basi tuna siasa za hovyo sana.Mwabukusi Boniface Mwaka 2020 aligombea ubunge Mbeya Mjini kupitia NCCR -Mageuzi na kama mwenzake wa CHADEMA Joseph Mbilinyi (Sugu) alidhulumiwa nafasi yake.
Kuna watu kama Tulia Ackson Mbunge wa sasa wa Mbeya Mjini, wanaoona kwamba kete hii ya Mwabukusi ya utetezi dhidi ya Ubinafishaji wa bandari inampa wafuasi wa kudumu Mwabukusi.
Kama ombi la Tulia la kugawanywa kwa Jimbo la Mbeya Mjini litakubaliwa, bado tishio la kukutana na upinzani mkali ama toka kwa Mwabukusi au Sugu litakuwepo.
Kwa Hiyo hofu dhidi ya Mwabukusi inatoka zaidi kwa Tulia Ackson kuliko kwa Rais Samia.
Wewe acha uzushi...Wapo wengi sana, wote wanajulikana lakini kila mmoja anasubiriwa aingie kwenye 18 kwa raha zake.
KumbeMwabukusi Boniface Mwaka 2020 aligombea ubunge Mbeya Mjini kupitia NCCR -Mageuzi na kama mwenzake wa CHADEMA Joseph Mbilinyi (Sugu) alidhulumiwa nafasi yake.
Kuna watu kama Tulia Ackson Mbunge wa sasa wa Mbeya Mjini, wanaoona kwamba kete hii ya Mwabukusi ya utetezi dhidi ya Ubinafishaji wa bandari inampa wafuasi wa kudumu Mwabukusi.
Kama ombi la Tulia la kugawanywa kwa Jimbo la Mbeya Mjini litakubaliwa, bado tishio la kukutana na upinzani mkali ama toka kwa Mwabukusi au Sugu litakuwepo.
Kwa Hiyo hofu dhidi ya Mwabukusi inatoka zaidi kwa Tulia Ackson kuliko kwa Rais Samia.
Hawa watu ni katili sana wanapopigania maslahi yao. Uliwahi kuwaza kuwa Mbowe angekaa muda wote ule gerezani Kwa kesi Ile ya Mchongo?Watuhumiwa wote wa uhaini wataachiwa hivi punde, wameanza na Mzee Slaa watafuata hao vijana waliobakia.
List ipo, anaeingia kwenye vigezi vya miapaka iliyowwekwa lazima baada ya muda mchache sana abadilishe chorus.Wewe acha uzushi...
Hao wengi ni wangapi??
Koras inayobadilishwa kiharamu Mungu hapendi.List ipo, anaeingia kwenye vigezi vya miapaka iliyowwekwa lazima baada ya muda mchache sana abadilishe chorus.
Sasa muone chorus ya Slaa itavyobadilika.
Aibu inakunyemelea...!Wapo wengi sana, wote wanajulikana lakini kila mmoja anasubiriwa aingie kwenye 18 kwa raha zake.
Wewe ndie umebadilisha chorus, acha uzushi.List ipo, anaeingia kwenye vigezi vya miapaka iliyowwekwa lazima baada ya muda mchache sana abadilishe chorus.
Sasa muone chorus ya Slaa itavyobadilika.
Hakuna 18 Wala eneo la gorikipaWapo wengi sana, wote wanajulikana lakini kila mmoja anasubiriwa aingie kwenye 18 kwa raha zake.
Na unaamini ww ni muislamu unaevizia watu kwenye 18Wapo wengi sana, wote wanajulikana lakini kila mmoja anasubiriwa aingie kwenye 18 kwa raha zake.
Wewe usitake kuleta simanzi za kidini. Kwa kuwa Muislam ndiyo nipandiwe kichwani?Na unaamini ww ni muislamu unaevizia watu kwenye 18