Wewe usitake kuleta simanzi za kidini. Kwa kuwa Muislam ndiyo nipandiwe kichwani?
Soma historia ya nchi hii, hakutupandia kichwani Mreno, Waislam ndiyo tulimtowa. Hakutupandia kichwani Mjerumani, Waislam pekee ndiyo tulipamba nae, osma hitoria ya vita vya majimaji. na Mkwawa. Soma kuhusu Bushiri na milambo na wengine wengi ambao historia ya Muingereza ikawaficha ficha.
Soma kuhusu Muingerea, ni kina nani walinzisha kudai uhuru mpaka unapatikana.
Soma kuhusu baada ya uhuru mpaka leo hii ujionee jinsi kanisa linavyotumika kujaribu kuuzuwia Waislam wanavyoumizwa. Mpaka leo hii ushahidi kamili ni wewe kibaraka wa wazungu. Kidogo tu, umerukia "Muislam", Uislam ulikuwa unahusu nini kwenye huu mjadala?
Mnalikoroga.