Anayelengwa ni Mwabukusi, hao wengine ni Gelesha tu

uislam wa dizaini hii yako, haufai hata kidogo, kwanza unajidhaulishwa na kuuzalilisha uislam. MUslim ni dini ya amani na upendo . Aliyekufundisha madrasa alikupandikizia chembechembe za ki jihad, angalia tu siku usijekujilipua na mabomu!!
 
Nadhani Mwabukusi ni zaidi ya kitisho cha ubunge kwa Tulia.. He is far away above that.. Mwabukusi ni kitisho thabiti cha kuangusha utawala dhalimu na kufisha kisheria sakata la mkataba mbovu wa DPW
 
uislam wa dizaini hii yako, haufai hata kidogo, kwanza unajidhaulishwa na kuuzalilisha uislam. MUslim ni dini ya amani na upendo . Aliyekufundisha madrasa alikupandikizia chembechembe za ki jihad, angalia tu siku usijekujilipua na mabomu!!
Huyo kikongwe ana chuki ya historia ya Uhuru kuwaacha nje "wazee wake" lakini anajificha kwenye kivuli cha udini.

Hawezi kujilipua hata siku Moja huyo.
Uchochezi wa kidini ndiyo unaomfanya aishi mjini. Kwa Ivo hawezi kuacha.
 
Kulikologa wapi weeeew,salama leku ositazii etu unapiga biti na mlivo wachache tutawanyuka nyie pimbi
 
Mwambukusi amepata Taasisi kubwa sasa ya kumuunga mkono. Zinaposimama taasisi kubwa kama Kanisa Katoliki Raia kama Mwambukusi na Mdude wanakuwa Salaam wanakuwa salama
 
Iliimbwa na msanii nguli wa Hip Hop, Solo Thang aka Ulamaa,

Wengine wananirubuni eti nashindania gari,
Kumbe wameshapanga wampe nani toka awali,
Sitorudia kosa hata zawadi waweke meli,
Waongeze ghorofa mbili, wanikabidhi na sheli

Solo Thang ft Q Chief - kilio changu (2004)

Sasa hata kura za maoni au uteuzi katika vyama haujafanyika ila tayari Tulia ni mgombea ubunge wa CCM 2025, SUGU mgombea ubunge CHADEMA 2025, Mwabukusi Mgombea ubunge 2025.

Katiba mpya huenda ikawa kitabu tu kama hivi vilivyopo sasa. Ukumbukwe hayati mchungaji Mtikila kwa kupambania uwepo wa mgombea binafsi.
 
Ipo namna yoyote unaweza amini sisi wakristo sio ngombe
 
Sasa hata kura za maoni au uteuzi katika vyama haujafanyika ila tayari Tulia ni mgombea ubunge wa CCM 2025, SUGU mgombea ubunge CHADEMA 2025, Mwabukusi Mgombea ubunge 2025.
Siasa dunia nzima Iko Ivo.

Kwa mfano ni mwendawazimu tu atakayesema kuwa Donald Trump hategemewi kuwa Mgombea Urais kupitia Republican kwenye uchaguzi Wa mwaka 2024.

Kwa Ivo maoteo (Speculations) ni jambo la kawaida kwenye Siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…