Anayemfokea mtumishi wa mahakama anapaswa kuadhibiwa

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Mahakama inatakiwa kuheshimiwa na isigeuzwe kama klabu cha pombe.
Kuna video clips zinamuonesha mtu mmoja akifoka na kuwatishia watumishi wa mahakama.
Nitashangaa sana kama ataachwa free na hatimaye hii ikageuka ndio utamaduni.
Ipo siku mtu ataibiwa halafu wakati wa kesi vibaka wakaambizana waje mahakamani kwa wingi ili tu kushinikiza maamuzi.
 
Na aliyekusanya pesa za DAMU kutoka kwa wafanya biashara, wala rushwa na wakwepa kodi kama kina singasinga pale mlimani City je?
Tumuache aendelee KUINAJISI IKULU YETU kwa fedha za Walanguzi ambao wamemnunua tayar?? Kipi bora kwako??? Kumuadhibu lisu au kuiacha IKULU INAJISIWE KWA FEDHA HARAMU???
 
Aadhibiwe kwa Sheria ipi?! Au aadhibiwe kimagumashi au kwa rejea ipi?!
 
 
Na familia yako yote
Na aliyekusanya pesa za DAMU kutoka kwa wafanya biashara, wala rushwa na wakwepa kodi kama kina singasinga pale mlimani City je?
Tumuache aendelee KUINAJISI IKULU YETU kwa fedha za Walanguzi ambao wamemnunua tayar?? Kipi bora kwako??? Kumuadhibu lisu au kuiacha IKULU INAJISIWE KWA FEDHA HARAMU???
 
Umetoa hoja nzuri,sio vibaka tu,hata majambazi,wanaweza kuungana kufanya hivyo.
 
Huyo Lisu alishapewa na Yule muhindi wa CCM,milioni mia mbili,mbona alizipokea,milioni mia mbili za miaka kumi iliyopita sawa,na ma bilioni ya sasa.Kwa hiyo na chadema,walipokea pesa kutoka kwa fisadi?Mbali ya gharama ya ndege,ya kumpeleka kwenye matibabu Nairobi Kenya,zilitoka kwa mbunge wa CCM,Zanzibar,muhindi,kwa hiyo na yeye alikubali.pesa kutoka kwa fisadi?Mkipewa nyinyi,aliyetoa hamsemi ni fisadi,wakipewa wenzenu,mwasema zatoka kwa mafisadi.Acheni ujinga.
 
Mahakama ilisha jidhalilisha yenyewe ilipo anza kupokea maelekezo kutoka nje
 
Asiuejiheshimu ataheshimiwaje
 
Hakuna Mahakama hapo ni ushenzi tu na usanii ..

wanastaili hata kupigwa makofi kabisa.

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Chadema kama chama kimejaa wahuni, tofauti na Ccm kuna makundi yote wahuni na wastaarabu ila Chadema wote wahuni.
 
Hauna jipya
 
Mbona hiyo ipo sana ndgu,rejea kauli ya rostam kuwa filimbi Moja tuuu mechi imeisha,,,,,ooooh sorry 4 that
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…