Anayemfokea mtumishi wa mahakama anapaswa kuadhibiwa

Anayemfokea mtumishi wa mahakama anapaswa kuadhibiwa

Mahakama inatakiwa kuheshimiwa na isigeuzwe kama klabu cha pombe.
Kuna video clips zinamuonesha mtu mmoja akifoka na kuwatishia watumishi wa mahakama.
Nitashangaa sana kama ataachwa free na hatimaye hii ikageuka ndio utamaduni.
Ipo siku mtu ataibiwa halafu wakati wa kesi vibaka wakaambizana waje mahakamani kwa wingi ili tu kushinikiza maamuzi.
Qmmk!
 
Yule askari magereza aliyemsukuma Lissu alichukuliwa hatua gani?
 
Back
Top Bottom