Anayemiliki Singida na Ihefu achunguzwe, ligi ya NBC inakwenda shimoni


Hilo ndo jibu
 
Shoga yao mkuu ndie yule alikupiga 5G?
 
Gadiel Michael, Joash, Kyombo, Kakolanya, Ndemla, Kagele Wawa wote hawa walitoka 5imba kwenda SFG je tuhoji umiliki wa Simba na Singida FG?
Hii post ni ya mtego sana mkuu,,

Mtoa mada amelenga mmiliki wa ihefu na singida wachunguzwe.

Haiwezekani mtumishi wa serikali amiliki timu kubwa za mpira..
.
 
KIZIMKAZI mwenyewe ndio anamfuga waziri wake. Anaachana n singida kisa Iko n madeni mengi CAF. Ananunua ihefu aiko na deni llte CAF.

KIZIMKAZI ni WA hajabu mnoo cjui anamuogopea nn waziri Wake.
 
Kyombo Kakolanya na Joash walitoka 5imba kwenda Singida FG mbona hamkusema hayo maneno? Kuna kipindi Manula, Wawa, Bocco, Nyoni na Kapombe kwa pamoja walitoka Azam FC kwenda 5imba mbona haikua ajabu?

Kwa hisani ya ukikaidi utapigwa2
1979Magufuli mbona hujibu hii comment?

Umejikuta umesawajika huna cha kujibu. Futa hili liuzi
 
Hahahaa! Nyani halioni kundule, sasahiviumeilalamikia coastal union halafu unasema yanga hawalalamiki
 
Hizo timu zinamilikiwa na wanasiasa mafisadi wa awamu ya Samia
 
Hii post ni ya mtego sana mkuu,,

Mtoa mada amelenga mmiliki wa ihefu na singida wachunguzwe.

Haiwezekani mtumishi wa serikali amiliki timu kubwa za mpira..
.
Ihefu wamiliki wake ni wale wafanyabiashara ya mpunga Mbarali, sijaona connection yoyote na Singida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…