MLALUKO JR
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 962
- 309
Habari zenu wanaJf.
Poleni kwa waliopatwa na matatizo na hongereni nyote mlifanikisha mipango yenu,Shukrani za pekee anastahiki MwenyeziMungu Mkusidiwa.
Kama mdau na mfuatiliaji wa habari za kiintelejensia na mpenzi wa kipindi cha Jicho Pevu kinachorushwa na KTN television ya Kenya.
Napenda kumfahamu Mtangazaji Mahiri anayeitwa Mohammed Ali.
Je,ana elimu gani kuhusu intelligence?
Je,nani anampa nguvu mpka kufikia kujitoa vile kufatilia vitu nyeti mfano:Kifo cha George Saitoti na engine??
Je,kwann hashtakiwi kama kweli anakiuka sheria za Kenya??
Natanguliza shukrani kwa wote!
Napenda kujifunza habari hizo kupitia yeye.
Wasalaam!