Anayemjua Mohammed Ali wa Jicho Pevu

Anayemjua Mohammed Ali wa Jicho Pevu

MLALUKO JR

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2015
Posts
962
Reaction score
309
Habari zenu wanaJf.
Poleni kwa waliopatwa na matatizo na hongereni nyote mlifanikisha mipango yenu,Shukrani za pekee anastahiki MwenyeziMungu Mkusidiwa.

Kama mdau na mfuatiliaji wa habari za kiintelejensia na mpenzi wa kipindi cha Jicho Pevu kinachorushwa na KTN television ya Kenya.

Napenda kumfahamu Mtangazaji Mahiri anayeitwa Mohammed Ali.

Je,ana elimu gani kuhusu intelligence?
Je,nani anampa nguvu mpka kufikia kujitoa vile kufatilia vitu nyeti mfano:Kifo cha George Saitoti na engine??

Je,kwann hashtakiwi kama kweli anakiuka sheria za Kenya??

Natanguliza shukrani kwa wote!

Napenda kujifunza habari hizo kupitia yeye.

Wasalaam!
 
ukiona hivyo ujue kenya wamestaarabika sana, jana uhuru kakashifiwa bungeni leo kamtumia kadi ya x-mas yule mama, kuna watu wana roho za tofauti sana
 
Jamaa alikuwa kwenye watchlist ya kuuliwa

Ila niliambiwa jamaa anatembea na camera,kuna siku alitaka kudhuriwa akawaonyesha camera ,wakawa wapole

Mohammad Ali amepokea vitisho vya kifo Mara kibao ,na ameonywa Mara kadhaa..na yeye mwenyewe kasema wazi anapokea vitisho kila Mara na polisi wamemuonya Mara nyingi tu

Amesoma mpaka ngazi ya degree
 
kwanza ni mtangazi wa chanel kubwa ya kenya inayoitwa KTN....
pili ana ID ya kiwango kizuuri tu kumruhusu kutafuta habari seehemu nyingi nyingi nyeti na hata za kimataifa. juzi juzi tu alikuja tanzania na akawa na interview azam two. akaongea meeengi.. kwa kweli huyu jamaa anajitahid saana ingawaje anapatwa na misuko suko kibaoooo....
elimu yake ni ya kawaida sema anapiga kazi saaana.. kinga yake kuubwa ni Uandish wa habari KTN
 
Habari zenu wanaJf.
Poleni kwa waliopatwa na matatizo na hongereni nyote mlifanikisha mipango yenu,Shukrani za pekee anastahiki MwenyeziMungu Mkusidiwa.

Kama mdau na mfuatiliaji wa habari za kiintelejensia na mpenzi wa kipindi cha Jicho Pevu kinachorushwa na KTN television ya Kenya.

Napenda kumfahamu Mtangazaji Mahiri anayeitwa Mohammed Ali.

Je,ana elimu gani kuhusu intelligence?
Je,nani anampa nguvu mpka kufikia kujitoa vile kufatilia vitu nyeti mfano:Kifo cha George Saitoti na engine??

Je,kwann hashtakiwi kama kweli anakiuka sheria za Kenya??

Natanguliza shukrani kwa wote!

Napenda kujifunza habari hizo kupitia yeye.

Wasalaam!
Naye watakuja kumkuta Ngong Forest. Wakenya hawana maana
 
durgbr78olatof5653fb30da68a.jpg

Mohamed Ali namkubali kupita mwandishi yoyote east africa.
Huyu yuko level za wakina Assange na Snowden kwa kujitolea bila kujali kifo.
Moja ya kitisho
"Mr Mohammed Ali you are a youngboy, Apparently you just married the other day and you now have a son less than one year old, I want to give you a last warning, Life is so precious if you don't know"
Source:Jicho Pevu's Mohammed Ali receives death threats from 'powerful' Kenyan
 
Anakula bata zake sana Zanzibar.. Alikua DSM two weeks ago! Taarifa anapewa Raia na emusurika kuuwawa mara nyingi sana kiasi kwamba familia yake, makazi yake na hata gari zake hulazimika kubadili makazi mara kwa mara!
 
Kitu kimoja ambacho nimekigundua huyu jamaa ame excel kwenye taarifa za kichunguzi. Competence yake ndio inamuweka mjini. Kwenye shule naona ni wa kawaida hata nliona akihojiwa na tv flani hivi ana kidhungu kinakaribiana na baba naniii yaani. Competence ndio inampa kula
 
Ila nilitamani kujua km ni jasusi labda
 
Niliangalia makala yake ya "Zilizala la Westgate" ilinifanye nimtazame kwa jicho la pili huyu jamaa. Nimeangalia na nyingine kadhaa. Ni level za kimataifa sana. Licha ya taarifa zenye uchunguzi wa hali ya juu, hata uwasilishaji wake ni murua. Hakuachi na maswali. Anatoa reference panapohitajika, flashback panapohitajika, nk. Nimependa sana sana makala zake. Bahati mbaya sana, tena sana, Watanzania bado hatujaaliwa kupata mwandishi wa kaliba ya huyu jamaa. Haya maupuuzi yanayoendelea kila uchao hapa Tanzania ungepungua au walau wangeufanya kwa kificho na kutuheshimu wananchi!

Majamaa MK254 na waltham nifikishieni salamu zangu zapongezi kwa huyu jamaa. Mwambieni namuomba Mungu kila kukicha azaliwe kama yeye Tanzania.
 
Kitu kimoja ambacho nimekigundua huyu jamaa ame excel kwenye taarifa za kichunguzi. Competence yake ndio inamuweka mjini. Kwenye shule naona ni wa kawaida hata nliona akihojiwa na tv flani hivi ana kidhungu kinakaribiana na baba naniii yaani. Competence ndio inampa kula
Asee!kwani hakupitia intelligence maana si kwa kufatilia kule
 
Back
Top Bottom