Anayemjua Mohammed Ali wa Jicho Pevu

Jamaa anauwezo sana.ni mkenya mweye asili ya kisomali.
Napenda kujua zaidi ubobezi wake ktk masuala ya intelligence maana hta intelligence ya Kenya anawachezea akili na kuwaanika mbinu zao.
 
Mohammed ally jamaa anajua na sio hii miandishi ya habari ya Tanzania ...
 
Mkuu hiyo Competence ndio muhimu katika kazi, kizungu ni Mbwembwe tu. Hapa bongo si unaona wanaojua Kizungu wanatupatia nini!
 
Jamaa huko fit sana kwenye eneo lake.....ni kama anamkaribia yule mwandishi wa kitanzania aliyemuambia Rais kuwa hajuti kumchagua, hawa watu vichwa sana.
 
Jamaa huko fit sana kwenye eneo lake.....ni kama anamkaribia yule mwandishi wa kitanzania aliyemuambia Rais kuwa hajuti kumchagua, hawa watu vichwa sana.
Nani huyo?
 
Huyu jamaa aliakikwa kwenye mkutano wa wadau wa habari Tanzania mwanzoni mwa mwezi huu, aliwaponda kweli waandishi wa Tanzania kuwa wanajipendekeza kwa kuandika habari za kuwafurahisha viongozi. Na ni waoga sana, badala ya kusimamia haki wao wanaikandamiza. Alinifurahisha kwa kusema wanahabari wa Tanzania wana to-ngo-zana na serikali watapewa mi-mba. Wamepiwa mi-mba ya kwanza ambayo ni Sheria ya huduma za habari lakini bado wanendelea ku-tongozana na serikali watapigwa mi-mba ya pili.
 

Jamaa yupo vizuri sana... Na kuna kipindi aliwahi omba hifadhi ughaibuni kulikuwa Na tetesi kuwa kuna njama Za kumuua yy Na mpiga picha wake, Na aliyetoa siri hiyo Ni Sonko... Ila MUNGU huwalinda wale wote wafanyao Kazi zao Kwa haki. Adumu mzee wa Jicho pevu[emoji1488][emoji1488]
 
Mkuu!unaweza kutuwekea clip hiyo.

Maana nmehc kusisima kwa kusikia maneno yake kwa waandishi Wa tz.
 
Sonko ni nani mkuu?
 
Ananichosha namna anavyotamka au kuwasilisha habari zake.
 
Mkuu!unaweza kutuwekea clip hiyo.

Maana nmehc kusisima kwa kusikia maneno yake kwa waandishi Wa tz.
Bahati mbaya sina hiyo clip, lakini Tanzania Editors Forum walikuwa wanachukua video tukio lote watakuwa nazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…