Anayemjua Mohammed Ali wa Jicho Pevu

Anayemjua Mohammed Ali wa Jicho Pevu

Jamaa anauwezo sana.ni mkenya mweye asili ya kisomali.
Napenda kujua zaidi ubobezi wake ktk masuala ya intelligence maana hta intelligence ya Kenya anawachezea akili na kuwaanika mbinu zao.
 
Mohammed ally jamaa anajua na sio hii miandishi ya habari ya Tanzania ...
 
Kitu kimoja ambacho nimekigundua huyu jamaa ame excel kwenye taarifa za kichunguzi. Competence yake ndio inamuweka mjini. Kwenye shule naona ni wa kawaida hata nliona akihojiwa na tv flani hivi ana kidhungu kinakaribiana na baba naniii yaani. Competence ndio inampa kula
Mkuu hiyo Competence ndio muhimu katika kazi, kizungu ni Mbwembwe tu. Hapa bongo si unaona wanaojua Kizungu wanatupatia nini!
 
Jamaa huko fit sana kwenye eneo lake.....ni kama anamkaribia yule mwandishi wa kitanzania aliyemuambia Rais kuwa hajuti kumchagua, hawa watu vichwa sana.
 
Huyu jamaa aliakikwa kwenye mkutano wa wadau wa habari Tanzania mwanzoni mwa mwezi huu, aliwaponda kweli waandishi wa Tanzania kuwa wanajipendekeza kwa kuandika habari za kuwafurahisha viongozi. Na ni waoga sana, badala ya kusimamia haki wao wanaikandamiza. Alinifurahisha kwa kusema wanahabari wa Tanzania wana to-ngo-zana na serikali watapewa mi-mba. Wamepiwa mi-mba ya kwanza ambayo ni Sheria ya huduma za habari lakini bado wanendelea ku-tongozana na serikali watapigwa mi-mba ya pili.
 
Habari zenu wanaJf.
Poleni kwa waliopatwa na matatizo na hongereni nyote mlifanikisha mipango yenu,Shukrani za pekee anastahiki MwenyeziMungu Mkusidiwa.

Kama mdau na mfuatiliaji wa habari za kiintelejensia na mpenzi wa kipindi cha Jicho Pevu kinachorushwa na KTN television ya Kenya.

Napenda kumfahamu Mtangazaji Mahiri anayeitwa Mohammed Ali.

Je,ana elimu gani kuhusu intelligence?
Je,nani anampa nguvu mpka kufikia kujitoa vile kufatilia vitu nyeti mfano:Kifo cha George Saitoti na engine??

Je,kwann hashtakiwi kama kweli anakiuka sheria za Kenya??

Natanguliza shukrani kwa wote!

Napenda kujifunza habari hizo kupitia yeye.


Wasalaam!

Jamaa yupo vizuri sana... Na kuna kipindi aliwahi omba hifadhi ughaibuni kulikuwa Na tetesi kuwa kuna njama Za kumuua yy Na mpiga picha wake, Na aliyetoa siri hiyo Ni Sonko... Ila MUNGU huwalinda wale wote wafanyao Kazi zao Kwa haki. Adumu mzee wa Jicho pevu[emoji1488][emoji1488]
 
Huyu jamaa aliakikwa kwenye mkutano wa wadau wa habari Tanzania mwanzoni mwa mwaka huu, aliwaponda kweli waandishi wa Tanzania kuwa wanajipendekeza kwa kuandika habari za kuwafurahisha viongozi. Na ni waoga sana, badala ya kusimamia haki wao wanaikandamiza. Alinifurahisha kwa kusema wanahabari wa Tanzania wana to-ngo-zana na serikali watapewa mi-mba. Wamepiwa mi-mba ya kwanza ambayo ni Sheria ya huduma za habari lakini bado wanendelea ku-tongozana na serikali watapigwa mi-mba ya pili.
Mkuu!unaweza kutuwekea clip hiyo.

Maana nmehc kusisima kwa kusikia maneno yake kwa waandishi Wa tz.
 
Jamaa yupo vizuri sana... Na kuna kipindi aliwahi omba hifadhi ughaibuni kulikuwa Na tetesi kuwa kuna njama Za kumuua yy Na mpiga picha wake, Na aliyetoa siri hiyo Ni Sonko... Ila MUNGU huwalinda wale wote wafanyao Kazi zao Kwa haki. Adumu mzee wa Jicho pevu[emoji1488][emoji1488]
Sonko ni nani mkuu?
 
Mkuu!unaweza kutuwekea clip hiyo.

Maana nmehc kusisima kwa kusikia maneno yake kwa waandishi Wa tz.
Bahati mbaya sina hiyo clip, lakini Tanzania Editors Forum walikuwa wanachukua video tukio lote watakuwa nazo
 
Back
Top Bottom