Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,231
- 1,491
Sonko ni nani mkuu?
Muro alitaka kufuata nyayo za huyu jamaa. Siku aliporusha kwenye Tv, clip ikimuonyesha askari akipokea rushwa, huo ndo ukawa mwanzo wake wa 'kuporomoshwa' mpaka kuwa 'msemaji wa Yanga'. Mikasa iliyomkuta Jerry Muro sidhani kama kuna mwingine atathubutu. Labda mpaka kizazi kilichoshuhudia kiishe.
Anasema alijibanza kwenye server za cctv akawa anafuatilia yanayoendelea ndani ya jengo.Huyo jamaa ni noma sana mkuu. Nilimpa heshima kwenye ile issue ya West Gate
Hiyo kolabo mwenyewe anasema anaumwa kama akiwakosa wenzake mahiri kama Linus Kaikai, Farida Karoney, John Allan Namu, Njoroge Mwaura, Waziri KhamisNa huwezi kumtaja huy Mo bila kumtaja John Allan Namo.
Kitu hukijui bora ukaulizapesa aitolee wap... njaaa kali yule km mim tu... sema mchapa kazi
Maana mmmh! HtrKwa alivyokuwa ana share experience yake kama investigative journalist inaonyesha sio mtu wa kawaida. na wala haogopi mtu.
Nimecheka sanaaaaaa,niliiona hiyoAnasema alijibanza kwenye server za cctv akawa anafuatilia yanayoendelea ndani ya jengo.
Kati ya wanajeshi, polisi, na alshabaab.
Askari watiifu walikuwa wanarusha risasi hewa,huku jamaa wanaendelea kusali kama hakuna kinachoendelea.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] mwisho wa siku kdf wakamalizia picha kwa kukomba mazaga zaga tu maana hakukuwa na namna[emoji38] [emoji38] [emoji38] .
Kabisa mkuu!Yuko vzr, niliona clip ya tukio la kifo cha saitoti. Aiseeee kwa tz bado sana kufikia level hizo za uandishi wa habari na utangazaji
Hivi huyo njoroge si aliwahi kupewa kesi ya ugaidi?Hiyo kolabo mwenyewe anasema anaumwa kama akiwakosa wenzake mahiri kama Linus Kaikai, Farida Karoney, John Allan Namu, Njoroge Mwaura, Waziri Khamis
Na wengine akina Catherine Soi, Peter Moss, Sinjiri Mukoba, Kizito Namulanda... mkuu ni wengi KTN News na vituo vingine
Tofauti.. Yeye ni Habib Suleimani NjorogeHivi huyo njoroge si aliwahi kupewa kesi ya ugaidi?
Muro ilikuwa tamaa ya pesa ndio ilimtangulia mbele, kazi akaiacha nyumaHuyu jamaa kuna siku alisha wahi kukimbia nchi kisa kutishiwa kuuwawa
alikimbilia kuomba hifadhi Malycia kama sikosei
Kinacho mpa kiburi ni KATIBA YA KENYA
Kamulizeni Jerry Muro alikuwa anafuatia nyayo za huyu jamaa lakini kilicho mpata Jerry hadi leo hataman hata uandishi wa habari
Moha anahela ya ajabu ana magari ya kifahari
Vipi yeye aliachiwa lknTofauti.. Yeye ni Habib Suleimani Njoroge
ÀTofauti.. Yeye ni Habib Suleimani Njoroge
Muro ilikuwa tamaa ya pesa ndio ilimtangulia mbele, kazi akaiacha nyuma
Umesahau ya yule wa TBC.. alivyofanyiwa??Mohammed ally jamaa anajua na sio hii miandishi ya habari ya Tanzania ...