Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,231
- 1,491
Muro alitaka kufuata nyayo za huyu jamaa. Siku aliporusha kwenye Tv, clip ikimuonyesha askari akipokea rushwa, huo ndo ukawa mwanzo wake wa 'kuporomoshwa' mpaka kuwa 'msemaji wa Yanga'. Mikasa iliyomkuta Jerry Muro sidhani kama kuna mwingine atathubutu. Labda mpaka kizazi kilichoshuhudia kiishe.