Anayemjua Mohammed Ali wa Jicho Pevu

Mkuu hiyo Competence ndio muhimu katika kazi, kizungu ni Mbwembwe tu. Hapa bongo si unaona wanaojua Kizungu wanatupatia nini!
Sio kweli jamaa hana kingereza kizuri... na kulinganisha pia sio sawa. Hawafanani hata kidogo, ukizingatia hawa wenzetu wana exposure english ni lugha ya mtaani pia.
 
Pole sana Mkuu!Ndio nchi yetu hiyo
 
Sio kweli jamaa hana kingereza kizuri... na kulinganisha pia sio sawa. Hawafanani hata kidogo, ukizingatia hawa wenzetu wana exposure english ni lugha ya mtaani pia.
Mbona kingeli chake kiko vizuri tyu!!Japo si kama cha watoto Wa Malkia Elizabeth
 
nasikia jamaa alifikaga kutaka kumhoji OSAMA
Kuna siku alikua na ziara katika ngome za al shabab na kufanya nao mahojiano. Pia alikua mwandishi wa kwanza kutembelea ikulu ya Puntland na kufa interview na viongozi mbalimbali wa kiraia na kijeshi.
 
Mungu kaumba watu wake jaman. God bless you brother. Napatwa na furaha moyoni napokutana na binadamu kama nyinyi, hakika mumeandaliwa chema mbinguni.
 
Mimi nilianza kumfahamu kwenye kipindi alichokiita makril ya injili akiwachambua manabii fake
 
Jamaa ni mtafiti mzuri, jamaa anapendwa na wapenda haki hata akipenyezewa file huwa analifanyia kazi vizuri...

Big up yeye
 
Niliona makala yake moja, alinifundisha kitu kuhusu hawa manabii wa leo
 


 
Mohammed Ally.....!!! haya majina haya ya Mo na Ally duuuuh usumbuf mtupu katka uso wa dunia
Kweli mkuu.. Ila ninae swahiba wangu huku Mohammed Ally ni chiz wa kupindukia. Mpaka namuuliza we mbona hufanani na kina mo ally!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…