namkubali sana mohamed ally,nami shahada yangu ya kwanza ni ya uandishi wa habari,ninao uwezo wa kufanya zaidi ya mohamed ally kwani nami siogopi kufa kwani ni mfu mtarajiwa,is a matter of time tu,na kizuri zaidi nina uzoefu mkubwa wa upelelezi kwani nilifanya kazi kitengo hicho kwa miaka 9,ninapenda kufanya vipindi kama vyake na nilishaandika proposal kwenda media house mbalimbali hapa bongo za kufanya investigative journalism sikujibiwa,ni tv station moja tu ndio walinijibu kwamba wanaogopa kurusha vipindi kama hivyo kwenye station yao kwani nitawagombanisha na serikali kwa kufichua maovu yao,nikaishiwa nguvu kabisa