Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kayoko amewasha fullHakuna refa profesional anaefoka hivi uwanjan, ni mpuuzi anayelazimisha kutisha ili aogopewe, ndiyo anaweza fanya hivi.
Refa siyo adui wa mchezaji ni rafiki mkubwa wa mchezaji, ukimuiga Corina kutumbua mijicho hivyo haimaanishi kuwa wewe utakuwa Corina, lakini ukumbuke Corina vile ndivyo alivyo.
Mwenye namba ya huyu lofa amwambie marefa wenye akili Duniani wanacheka na wachezaji uwanjani kwa maana pale ni ofisini kwao na wale ni waajiriwa wenzie. Ukiona mfanyakazi anamfokea mfanyakazi mwenzie kazini namna hii, basi huyo anatafuta kiki na kujikomba kwa mabosi.
Halafu ajifunze kutoa maamuzi ya ushindi kwenye mechi zenye mvuto kama zile na siyo kusawazisha mchezo kwa kumwaga mikadi ili ipatikane suluhu na yeye ajivue lawama toka kila pande.
View attachment 2396408View attachment 2396409View attachment 2396410View attachment 2396411
Refa hatakiwi kuongea zinatakiwa kuongea kadi na filimbi tu! Akiacha hiyo tabia yake ya kujibizana na wachezaji atakua refa mzuri, vinginevyo hii kazi itamshinda kbs!Siku zote Mtu akitimiza wajibu wake lazima achukiwe maana Kuna mchezaji Kayoko alimwambie Aache ufala waacheze Mpira
Mental case hiiHakuna refa profesional anaefoka hivi uwanjan, ni mpuuzi anayelazimisha kutisha ili aogopewe, ndiyo anaweza fanya hivi.
Refa siyo adui wa mchezaji ni rafiki mkubwa wa mchezaji, ukimuiga Corina kutumbua mijicho hivyo haimaanishi kuwa wewe utakuwa Corina, lakini ukumbuke Corina vile ndivyo alivyo.
Mwenye namba ya huyu lofa amwambie marefa wenye akili Duniani wanacheka na wachezaji uwanjani kwa maana pale ni ofisini kwao na wale ni waajiriwa wenzie. Ukiona mfanyakazi anamfokea mfanyakazi mwenzie kazini namna hii, basi huyo anatafuta kiki na kujikomba kwa mabosi.
Halafu ajifunze kutoa maamuzi ya ushindi kwenye mechi zenye mvuto kama zile na siyo kusawazisha mchezo kwa kumwaga mikadi ili ipatikane suluhu na yeye ajivue lawama toka kila pande.
View attachment 2396408View attachment 2396409View attachment 2396410View attachment 2396411
Vipi mchezaji elimu darasa la Saba, ni Sawa?.Mtu wa form four failure kuwa refari si sawa
Samahani mkuu hivi dakika za nyongeza huwa zinaongezwa na mwamuzi wa kati au wale waamuzi walio benchi wanaofuatilia mwenendo mzima wa mchezo husikaMpira ulimshinda ndiyo maana unaona licha ya mchezo kusimama simama muda mrefu Bado waliongeza dakika 3.
Marefa wanaotambulika utawaona Qatar kwenye world cup, hawa wa kwetu nje ya Tanzania labda wakachezeshe soka la wanawake.Hakuna refa profesional anaefoka hivi uwanjan, ni mpuuzi anayelazimisha kutisha ili aogopewe, ndiyo anaweza fanya hivi.