Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Recently Wilbroad Slaa amekua akitoa matamko ya kuihusisha CHADEMA na mambo ya kipuuzi sana. Leo nimeona Tena amenukuliwa akidai kuwa CHADEMA ilimtumia Mlinzi wake kufanya ukatili kwa kiongozi wa CHADEMA.
Swali ambalo Slaa hataki kujibu ni kwamba. Kwanini alikaa kimya baada ya kupata taarifa hizo? Pili, kwa Hali ilivyo, Inawezekana kweli Chadema wafanye kitu kama hicho halafu Polisi wakae kimya.
Tulieni mzodolewe, mlizoea kumuonea Mbatia na Lipumba sasa mjiandae, siri zenu nje nje go dr slaa. Umoja Party mnakipa umaarufu wenyewe kabla hata kusajiliwa.Nimeamini Umoja Party kina vichwa vizuri yaani chama hakijasajiliwa but tayari kimeanza kujambisha peopleRecently Wilbroad Slaa amekua akitoa matamko ya kuihusisha CHADEMA na mambo ya kipuuzi sana. Leo nimeona Tena amenukuliwa akidai kuwa CHADEMA ilimtumia Mlinzi wake kufanya ukatili kwa kiongozi wa CHADEMA.
Swali ambalo Slaa hataki kujibu ni kwamba. Kwanini alikaa kimya baada ya kupata taarifa hizo? Pili, kwa Hali ilivyo, Inawezekana kweli Chadema wafanye kitu kama hicho halafu Polisi wakae kimya.
Aibu kubwa sana... lipuuzeni hilo lizee; halina jipya kwa sasa. Aina ya mtu aliyezoea uongo uongo ili aishi mjini. Baada ya kesi ya ugaidi kubumba wanawatuma mawakala wao wenye roho za kishetani kujaribu kueneza vijisababu vingine vya kuendelea kuichafua Chadema. Kwa neema za Mungu wa Mbinguni hawataweza; kama kubwa lao na vyombo vyote walishindwa huyu mjinga hataweza!
Hata Mimi nashangaa!kumbe chadema bado ipo😳
Ana stress huyuHuyunPadri sasa anadhalilisha kabisa hata taasisi nzima ya Upadre.
Hivi ilikuaje akapewa upadre huyu mzee asiye na hekima wala akili?
Hivi yule Mshumbushi bado yupo na Slaa?Padiri slaa kalogwa na mchumba wake mshumbushi.