Anayemtuma au kumtumia Wilbroad Slaa kuichafua CHADEMA hatafanikiwa

Huyu ndiye alikuwa Balozi wetu kwe nchi ya Ulaya inayosifika kwa haki za binadamu, good governance na demokrasia. Shame!
Recently Wilbroad Slaa amekua akitoa matamko ya kuihusisha CHADEMA na mambo ya kipuuzi sana. Leo nimeona Tena amenukuliwa akidai kuwa CHADEMA ilimtumia Mlinzi wake kufanya ukatili kwa kiongozi wa CHADEMA.

Swali ambalo Slaa hataki kujibu ni kwamba. Kwanini alikaa kimya baada ya kupata taarifa hizo? Pili, kwa Hali ilivyo, Inawezekana kweli Chadema wafanye kitu kama hicho halafu Polisi wakae kimya.

Anasema ukweli, aachwe afunguke
 
Chadomo kila kitu mtu katumwa jibuni hoja zake vichaa nyie na ukabila wenu hamna jipy elimu za uwizi wa mitihani
 
Kutoka kuwa dokta silaha mpaka kuwa mganga wa kienyeji wa manati.
kuna mda naweza kuamini kitaa wazee kama hawa wanaitwa wanga na wachawi kwa hayo
 
Chadema kujifanya Malaika bhana, yani ninyi mkiikosoa serikali ya CCM tena kwa matusi juu ni democracy lakini wengine wakiwakosoa ninyi wametumwa [emoji848]

TZ ni nchi rahisi sana kuiongoza [emoji2]
Unafananishaje kukosoa serikali au chama kinaoingoza serikali na uropokaji kuhusu chama kisichoongoza serikali.Hakuna mtu anayetaka kulinda uozo ila sidhani kama ndicho anachokimaanisha slaa.Slaa ana maslahi binafsi na icho anachokiongea wakati wanaokosoa serikali ya ccm wanakua na maslahi na Taifa.
 
Ee bado ni mchumba wake na ndo aliyeshikilia akili za padiri slaa.

1651073114384.png

1651073226594.png
 
Laana ya kusaliti imani ya kitume haimwachi mtu salama.

Maagano wanayoingia na MUNGU ni Laana tosha kuyakengeuka
 
Wajinga kweli nyie kwahiyo kumbe ni mkuki kwa nguluwe kumbe inaumaeeee[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Laana ya kukana kiapo cha upadri,laana ya kumtelekeza mkewe Rose Kamili, laana ya kumpora Mahimbo mke wake na laana ya kuisaliti Ukawa ilhali na yeye alishiriki uamuzi wa kumkaribisha Lowasa, laana hizi haziwezi kumuacha salama. Ukichanganya na sonona ya kukimbiwa na 'mchumba' wake amekuwa zombie kabisa. Kuna tofauti ndogo sana kati yake na Cyprian Musiba.
Hoja ikitolewa mje na hoja nyie CHADEMA ndio maana kuchukua nchi labda miaka elafu moja ijayo!
 
Recently Wilbroad Slaa amekua akitoa matamko ya kuihusisha CHADEMA na mambo ya kipuuzi sana. Leo nimeona Tena amenukuliwa akidai kuwa CHADEMA ilimtumia Mlinzi wake kufanya ukatili kwa kiongozi wa CHADEMA.

Swali ambalo Slaa hataki kujibu ni kwamba. Kwanini alikaa kimya baada ya kupata taarifa hizo? Pili, kwa Hali ilivyo, Inawezekana kweli Chadema wafanye kitu kama hicho halafu Polisi wakae kimya.

Alisema tena kwenye vyombo vya habari- ushahidi umeweka wewe mwenyewe hapo. Sifa ya uongo ni USAHALIFU

"Kuna kipindi Mwenyekiti wetu
@ChademaTz
Wilaya alitekwa saa 6 usiku na kuumizwa akatupwa ununio. Mimi nikaita vyombo vya habari kukemea vyombo vya Usalama kuteka watu.Baada ya mwezi mmoja mmoja wa walinzi wetu wa chama akaniambia yeye alihusika kumteka" Dkt. Slaa source😀ar24
 
Recently Wilbroad Slaa amekua akitoa matamko ya kuihusisha CHADEMA na mambo ya kipuuzi sana. Leo nimeona Tena amenukuliwa akidai kuwa CHADEMA ilimtumia Mlinzi wake kufanya ukatili kwa kiongozi wa CHADEMA.

Swali ambalo Slaa hataki kujibu ni kwamba. Kwanini alikaa kimya baada ya kupata taarifa hizo? Pili, kwa Hali ilivyo, Inawezekana kweli Chadema wafanye kitu kama hicho halafu Polisi wakae kimya.

Anatafuta apewe nafasi kwenye Serikali ya Awamu ya Sita.

Mama yetu hapendi makandokando na naamini kamwe hawezi kumpa cheo chochote.
 
Back
Top Bottom