Recently Wilbroad Slaa amekua akitoa matamko ya kuihusisha CHADEMA na mambo ya kipuuzi sana. Leo nimeona Tena amenukuliwa akidai kuwa CHADEMA ilimtumia Mlinzi wake kufanya ukatili kwa kiongozi wa CHADEMA.
Swali ambalo Slaa hataki kujibu ni kwamba. Kwanini alikaa kimya baada ya kupata taarifa hizo? Pili, kwa Hali ilivyo, Inawezekana kweli Chadema wafanye kitu kama hicho halafu Polisi wakae kimya.
Kuna possibility kuwa huyo redbriged alitumiwa na kitengo cha wasiojulikana,keep in mind pesa sabuni ya roho alitakiwa afafanue je waliokuwa nao ni wasiojulikana au ni chadema.......